Green Zone imeshambuliwa kwa maroketi karibu na ubalozi wa Marekani Baghdad Iraq

Green Zone imeshambuliwa kwa maroketi karibu na ubalozi wa Marekani Baghdad Iraq

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
4,766
Reaction score
16,191
Habari zilizojiri hivi punde ni shambulizi la maroketi mawili katika eneo la Green Zone huko Baghdad karibu na ubalozi wa USA.

Makombora hayo yamerushwa masaa kadhaa baada ya Rais Donald Trump kutangaza kwamba Iran inaonekana kusitisha mzozo wa kijeshi na Marekani.

Mpaka sasa haifahamiki madhara yaliyotokea.

Video zinaonyesha ving'ora vikilia "incoming".

=====
BAGHDAD, Jan 8 (Reuters) - Two rockets fell on Wednesday inside Baghdad's heavily fortified Green Zone, which houses government buildings and foreign missions, but caused no casualties, theIraqi military said.

Sirens were sounding inside the Green Zone. Police sources told Reuters at least one of the rockets fell 100 meters (yards) from the U.S. Embassy.

"Two Katyusha rockets fall inside the Green Zone without causing casualties. Details to follow," the military said.

Two loud blasts followed by sirens had been heard in Baghdad, Reuters witnesses said.

There was no immediate claim of responsibility.

Iran launched missiles at U.S. forces inIraq overnight in retaliation for the killing by the United States last week of Iranian General Qassim Soleimani, raising concern about a wider war in the Middle East.
 
Habari zilizo jiri hivi punde ni shambulizi la maroketi mawili katika eneo la Green Zone huko BaghDad karibu na ubalozi wa USA, Makombora hayo yamerushwa masaa kadhaa baada ya Rais Donald Trump kutangaza kwamba Iran inaonekana kusitisha mzozo wa kijeshi na marekani.
Hiyo ni dalili tosha kuwa QUDS BRIGADIER hawajafikia kikomo Cha kisasi Cha kuuliwa kamanda wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maana naona Khomenei amesema hilo shambulizi ni kofi, sasa naona ngumi na mateke havijaruka.
IMG_20200108_185119.jpg
 
Mi nachoshukuru ni amerika kutumia hekima na kupoa maana akiwa Kama mkubwa kaamua kujiepusha na lawama,aliekuwa anamtaka amuondoshe ameshamuondosha na kinachotokea hivi sasa ni matokeo ambapo marekani haijaamua kuyajibu bado.

Sasa kwa wale wanaoshabikia na waendelee maana hawajui umuhimu wa maamuzi waliyofanya marekani,semeni tu marekani kaogopa endeleeni kujipa moyo.. ila binafsi naona wamefanya maamuzi sahihi na kumbukeni na pimeni Kama aliweza kumuuwa mkuu wa majeshi Irani itakuwaje kwa waliobaki..?

Iran hawezi pambana na marekani Hilo li wazi ila marekani inampasa kutulia ili kuepusha madhara yanayoweza jitokeza.
 
KENZY,

Mbona wkt Trump anasema ole wake Iran ilipue Asset zozote zile za Amerika lazima pachimbike mlifurahia sana.

Leo hizo assets zimepigwa na Iran ndio mmekuja na ngonjera za ooh asante sana Trump kwa kutumia busara hahahah

Kunguru mwoga hukimbiza unyoya wake-nae ni US.
 
Nilifikiri Marekani ana technology ya kujikinga au ku- intercept missiles , sasa tena naona hizi kombora za Iran zina hit target directly! Alafu hajibu !!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wkt Trump anasema ole wake Iran ilipue Asset zozote zile za Amerika lazima pachimbike mlifurahia sana.

Leo hizo assets zimepigwa na Iran ndio mmekuja na ngonjera za ooh asante sana Trump kwa kutumia busara hahahah

Kunguru mwoga hukimbiza unyoya wake-nae ni US.
Mkuu nina uwezo wa kukutukana maana unanilisha maneno ya group ambapo mi sikusema hivyo!! Kuwa makini.. hakuna haja ya marekani kuanzisha vita itaathiri Mambo mengi kwani vita hiyo inaweza kwenda hata kidini!! Na kuna waafrika huku hatujielewagi bendera fata upepo nasi tutaanza twangana Kuna maswala ya uchumi n.k yote yataenda kombo unafikiri ni kipi Bora..?

Hata hao Americans itaathiri lkn si kwamba hawawezi kuamini hivyo itakuwa ni undezi na Mambo huwa yana chini ya pazia tusichoshane bure
 
Back
Top Bottom