Green Zone imeshambuliwa kwa maroketi karibu na ubalozi wa Marekani Baghdad Iraq

Green Zone imeshambuliwa kwa maroketi karibu na ubalozi wa Marekani Baghdad Iraq

Guys,mimi nna kitu kipya nakiona.Inawezekana Iran ikarusha makombora hafifu bila kuua mtu maeneo yote muhimu yanayohodhi majeshi ya US kule Iraq ili kutuma tu ujumbe kwamba"mzee tunajua ulipojificha humu,tunaweza kukuumiza,hatutaki uchokozi na wewe,ohooo,haya!"halafu wakasikilizia US itafanyaje.Maana Iran haionyeshi iko serious kwa kurusha Katyusha green zone.Ukijumlisha na jitihada za kurudisha uhusiano baina yake na Iraq,juhudi alizokuwa anazifanya marehemu Soleimani,na nia ya waajemi kuwa na influence kubwa pale ghuba,huenda wanataka kujionyesha wako smart kudeal na hili tatizo,maana kiukweli vita haina maslahi kwa Iran,ina maslahi kwa US na washirika wake.
 
KENZY,

Mbona wkt Trump anasema ole wake Iran ilipue Asset zozote zile za Amerika lazima pachimbike mlifurahia sana.

Leo hizo assets zimepigwa na Iran ndio mmekuja na ngonjera za ooh asante sana Trump kwa kutumia busara hahahah

Kunguru mwoga hukimbiza unyoya wake-nae ni US.
Marekani sio kunguru ni mwewe mtata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom