Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
HahahahaVuzi la kijani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaVuzi la kijani?
Mzee wa So far, hivi Iran haina kambi ya jeshi huko Iraq?[emoji23][emoji23][emoji23]Mzee wa "All is well" sijui ata tweet nini this time.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sio mwanaume
Mkuu nina uwezo wa kukutukana maana unanilisha maneno ya group ambapo mi sikusema hivyo!! Kuwa makini.. hakuna haja ya marekani kuanzisha vita itaathiri Mambo mengi kwani vita hiyo inaweza kwenda hata kidini!! Na kuna waafrika huku hatujielewagi bendera fata upepo nasi tutaanza twangana Kuna maswala ya uchumi n.k yote yataenda kombo unafikiri ni kipi Bora..?
Hata hao Americans itaathiri lkn si kwamba hawawezi kuamini hivyo itakuwa ni undezi na Mambo huwa yana chini ya pazia tusichoshane bure
Khamenei? Yule aliyelia kama mtoto mdogo? Ha ha ha!Kwa maana naona Khomenei amesema hilo shambulizi ni kofi, sasa naona ngumi na mateke havijaruka.
Katika karne hii unajisifia kua na uwezo wa kumtukana mwenzako badala ya kujisifia katika utoaji hoja?Mkuu nina uwezo wa kukutukana maana unanilisha maneno ya group ambapo mi sikusema hivyo!! Kuwa makini.. hakuna haja ya marekani kuanzisha vita itaathiri Mambo mengi kwani vita hiyo inaweza kwenda hata kidini!! Na kuna waafrika huku hatujielewagi bendera fata upepo nasi tutaanza twangana Kuna maswala ya uchumi n.k yote yataenda kombo unafikiri ni kipi Bora..?
Hata hao Americans itaathiri lkn si kwamba hawawezi kuamini hivyo itakuwa ni undezi na Mambo huwa yana chini ya pazia tusichoshane bure
Mmarekani mweusi wa Nzega mbona unahangaika kwenye kila thd kujiliwaza? vicomment vyako vya huku JF haviwezi kuubadili uhalisia.Khamenei? Yule aliyelia kama mtoto mdogo? Ha ha ha!
Watu wengine wanakirihisha Kuna haja ipi ya kunilisha maneno ambayo sijayasema..? Au hii ni karne ya kulishana maneno..?Katika karne hii unajisifia kua na uwezo wa kumtukana mwenzako badala ya kujisifia katika utoaji hoja?
Tukana tu, ukweli ni kwamba Mzee wenu kaweka mpira kwapani alifikiri ni Saddam yuleMkuu nina uwezo wa kukutukana maana unanilisha maneno ya group ambapo mi sikusema hivyo!! Kuwa makini.. hakuna haja ya marekani kuanzisha vita itaathiri Mambo mengi kwani vita hiyo inaweza kwenda hata kidini!! Na kuna waafrika huku hatujielewagi bendera fata upepo nasi tutaanza twangana Kuna maswala ya uchumi n.k yote yataenda kombo unafikiri ni kipi Bora..?
Hata hao Americans itaathiri lkn si kwamba hawawezi kuamini hivyo itakuwa ni undezi na Mambo huwa yana chini ya pazia tusichoshane bure
Utasikia mlio wa mlipuko mkubwa , mwenye ku rekodi alikua mbali na tukio, lakini ndio yaliyojiri Baghdad.
Bwana mdogo hebu fuatilia kauli alizotoa Trump baada ya kuuwawa kwa Qasem harafu fuatilia wachangiaji walisema nini juu ya kauli za dharau za Trump akijua kuwa Iran watakaa kimya sasa wamemjibu kisawasawa saa zilezile ambazo Qasem ameuwawa.Watu wengine wanakirihisha Kuna haja ipi ya kunilisha maneno ambayo sijayasema..? Au hii ni karne ya kulishana maneno..?
Busara zimetumika hapo.Mbona wkt Trump anasema ole wake Iran ilipue Asset zozote zile za Amerika lazima pachimbike mlifurahia sana.
Leo hizo assets zimepigwa na Iran ndio mmekuja na ngonjera za ooh asante sana Trump kwa kutumia busara hahahah
Kunguru mwoga hukimbiza unyoya wake-nae ni US.