Green Zone imeshambuliwa kwa maroketi karibu na ubalozi wa Marekani Baghdad Iraq

[Q

Marekani anzishe vita mara ngapi?
Kitendo cha kumuua yule kamanda tayari Marekani kishaanzisha vita.
 
Katika karne hii unajisifia kua na uwezo wa kumtukana mwenzako badala ya kujisifia katika utoaji hoja?
 
KENZY, Unajifanya Tomaso hahahaaa! USA kahisi harufu mbaya ya kuweza kuharibu hali yake ya hewa vibaya sana kaamua kuufyata tangu lini USA akawa na hekima? Iraq mbona hakutanguliza hekima ? Libya mbona hakukuwa na hekima? Afghanistan mbona hakukuwa na hekima?

Hekima imekuja baada ya kuona anafuatwa moja kwa moja. Kuweni wapole ogopa sana kupigana na ambaye ameuchoka uonevu wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika karne hii unajisifia kua na uwezo wa kumtukana mwenzako badala ya kujisifia katika utoaji hoja?
Watu wengine wanakirihisha Kuna haja ipi ya kunilisha maneno ambayo sijayasema..? Au hii ni karne ya kulishana maneno..?
 
Tukana tu, ukweli ni kwamba Mzee wenu kaweka mpira kwapani alifikiri ni Saddam yule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengine wanakirihisha Kuna haja ipi ya kunilisha maneno ambayo sijayasema..? Au hii ni karne ya kulishana maneno..?
Bwana mdogo hebu fuatilia kauli alizotoa Trump baada ya kuuwawa kwa Qasem harafu fuatilia wachangiaji walisema nini juu ya kauli za dharau za Trump akijua kuwa Iran watakaa kimya sasa wamemjibu kisawasawa saa zilezile ambazo Qasem ameuwawa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Busara zimetumika hapo.

Kwa akili yako kabisa unadhani US wameshindwa kuichapa Iran?

Nuclear option ni short cut.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…