Green Zone imeshambuliwa kwa maroketi karibu na ubalozi wa Marekani Baghdad Iraq

Guys,mimi nna kitu kipya nakiona.Inawezekana Iran ikarusha makombora hafifu bila kuua mtu maeneo yote muhimu yanayohodhi majeshi ya US kule Iraq ili kutuma tu ujumbe kwamba"mzee tunajua ulipojificha humu,tunaweza kukuumiza,hatutaki uchokozi na wewe,ohooo,haya!"halafu wakasikilizia US itafanyaje.Maana Iran haionyeshi iko serious kwa kurusha Katyusha green zone.Ukijumlisha na jitihada za kurudisha uhusiano baina yake na Iraq,juhudi alizokuwa anazifanya marehemu Soleimani,na nia ya waajemi kuwa na influence kubwa pale ghuba,huenda wanataka kujionyesha wako smart kudeal na hili tatizo,maana kiukweli vita haina maslahi kwa Iran,ina maslahi kwa US na washirika wake.
 
Marekani sio kunguru ni mwewe mtata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…