Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 649
- 547
- Thread starter
-
- #21
Mkuu nakushauri u-revisit my post kwanza usome kwa umakini zaidi, majibu yako yanaonyesha hukunielewa!!! - Mimi hapa nilikuwa sizungumzii masuala ya GreenHouse i.e project yako! Nizungumzia WATANZANIA tujaribu kuwa innovate, nikatoa mfano mdogo ambao mtu anaweza kuhutumia kunyunyizia mimea inayo zunguka nyumba yake - repeat mfano wangu had nothing to do na mambo/masuala yenu ya GREENHOUSE.
Nimefanya analysis ya gharama ulizoweka katika DVD yako uliyoniumia. We ulisema ni 593,600 hivi. Mimi nimepigiana mahesabu na suppler mmoja ambaye imefikia sh. 643,000. But still sio mbaya. Wengine gharama yao ni 2.5m na 5M. So nimekuwa very impressed nawe. Hongera.
Mkuu Smart2014 hebu tupe suppliers maana material ndio isue ya msingi.Nimefanya analysis ya gharama ulizoweka katika DVD yako uliyoniumia. We ulisema ni 593,600 hivi. Mimi nimepigiana mahesabu na suppler mmoja ambaye imefikia sh. 643,000. But still sio mbaya. Wengine gharama yao ni 2.5m na 5M. So nimekuwa very impressed nawe. Hongera.
Mkuu Smart2014 hebu tupe suppliers maana material ndio isue ya msingi.
ebwana ntakutafuta mkuu
Mkuu nahitaji iyo dvd
Nahitaji ushauri wa kilimo cha green house pamoja na bei ila nahitaji kufahamu nini haswa ama zao lipi linastawi katika ukulima wa kutumia ujuzi huu tafadhali nahitaji muongozo
tuwasiliane zaidi kwa pm
Biashara2000
Mie ni mdau katika kilimo na nimefanya research kuhusiana na ujenzi wa GH. Sikatai kwamba unaweza jenga green house kwa bei ya 593,000 ila ninamashaka kwani kuna cost ambazo ni hidden hapo, mfano Water tank ya kumwagilia iko included? minimun 250Lts, Nguzo nzuri za kujengea ni 6-8 inches ninakoishi ni mbezi zinauzwa 14,000 moja, hutazichimbia na kuziwekea zege? vijana utawalipa kiasi gani? je hutafanya soil na water test?
Kiuhalisi hizo garama ulizoweka sio sahihi kabisa kwa mtizamo wangu kilimo chenye tija kinahitaji uwekezaji, Hivyo basi garama ulizoonyesha hazina uhalisia zaidi watu wataishia kununua CD, mwisho wa siko its just good business on your side..
Nadhani tusichanganye. Wale wote wanaokujengea greenhouse kwa 2.5m, 5m au 6m wanasema gharama zao ni material yote kutoka nguzo. Nguzo utatafuta mwenyewe. Mimi nami ni hivyo hivyo ila gharama ni chini ya 600,000
kama gharama ya 600k ni bila nguzo na ufundi, inanibidi niwe nimejiandaa kibindoni na zaidi ya 1m?
Kwa 8x15m, nguzo kama 40 za futi 15, na 5 za futi 18 zitatosha, au nyingi?
Katika 600,000 hii kuna gharama ya watu wa kukukatia nguzo hizi. Wakati mwingine kila kitu si lazima ununue.
Biashara2000 Mie ni mdau katika kilimo na nimefanya research kuhusiana na ujenzi wa GH. Sikatai kwamba unaweza jenga green house kwa bei ya 593,000 ila ninamashaka kwani kuna cost ambazo ni hidden hapo, mfano Water tank ya kumwagilia iko included? minimun 250Lts, Nguzo nzuri za kujengea ni 6-8 inches ninakoishi ni mbezi zinauzwa 14,000 moja, hutazichimbia na kuziwekea zege? vijana utawalipa kiasi gani? je hutafanya soil na water test? Kiuhalisi hizo garama ulizoweka sio sahihi kabisa kwa mtizamo wangu kilimo chenye tija kinahitaji uwekezaji, Hivyo basi garama ulizoonyesha hazina uhalisia zaidi watu wataishia kununua CD, mwisho wa siko its just good business on your side..
Katika 600,000 hii kuna gharama ya watu wa kukukatia nguzo hizi. Wakati mwingine kila kitu si lazima ununue.