Greenhouse katika video

Status
Not open for further replies.

1. Ndio inaonyesha jinsi ya kuandaa udongo
2. Inafundisha hatua kwa hatua kujenga greenhouse na pia hatua kwa hatua junsi ya kulima nyanya
3. Ndio
4. Katika technology yetu huhitaji kuwa na tank, unatumia technology ya kisasa ya mwagiliaji
5. Ndio inawezekana.
6. Unaponunua hii dvd unapata pia mawasiliano ya ma supplier wa vifaa
 

don't waste your time if you can not see a demonstration green house farm .... nevertheless there aren't any cost over benefit analysis which will bring us to conclusion on profitability ..... this thread topic poster about green house is a best selling author ..... rather i call him a CD and DVD vendor

be ware of ants and round worms
 

Mi nadhani kwa tabia kama yako ya kukashifu watu bila sababu ya msingi ndio inayofanya watu wengi tz kuwa maskini. Nadhani unatfuta attention maana nimeshaona posts zako nyingi. Watu wengi wameamua kubadilika.

Mimi nilipata dvd ya huyu bwana. Imenifungua na kufanya nianze kuzikusanya kusanya nami nianze mradi nondokane na umaskini. We baki na negative thinking yako.
 

Okeeey! yule jamaa anayetangaza kuwa anajenga greehouse kwa mil. 5 aliweka na picha kabisa. Nawe ukaziona. Sasa mbona hiyo greenhouse huna, hujaijenga!!!!!???? Hivyo hata nikikuwekea picha bado utaongea mengine. Hivyo sio kazi yangu kukuridhisha wewe!
 
hivi kabichi naweza panda kwenye greenhouse yangu?
 
Mbona wakenya wameweka hizo video na dicumentary bure kabisa?
 
Mbona wakenya wameweka hizo video na dicumentary bure kabisa?

Ningekushauri utumie mafunzo hayo ya bure ujifunze greenhouse ili nawe uweze kufanya kilimo ili vijana wengi waondokane na umaskini
 

Hapo umesema kweli, maaana wengi wetu tunatoa white paper nd try to convise people kuwa wakifanya kama tusemavyo tayaali wataondokana na umaskini kumbe wapi, I only wish one day I will mean what I say nd do not only just say abc BUT BE MORE PRACTICAL
 
ninawezaje kumpata fundi wa kunitengenezea grean hause kwa mtu alieko kanda ya kaskazini

Mafunzo haya utakayopata huna haja ya kutafuta mtu maalumu yaani mtaalamu kwa ajili ya kukujengea greenhouse yako. Ukishajifunza unaweza tumia hata kijana wako wa kazi kwa maelekez yako naye akakujengea
 
ninawezaje kumpata fundi wa kunitengenezea grean hause kwa mtu alieko kanda ya kaskazini

Mimi namfahamu jamaa mmoja yuko rombo yeye amejenga greenhouse yake kidogo kidogo mpaka ikaisha. Siku nikiwasiliana nae ntamuuliza alifanyaje
 
OFA: Kawnza nashukuru kwa wale wote waliojifunza haya mafunzo ya greenhouse kutoka katika DVD nilizowatumia. Kutokana na umuhimu huu nimeamua kutoa ofa ya DVD ya ziada kama ofa bure utakapo nunua DVD ya greenhouse. Dvd hii ya ofa inafundisha hatua kwa hatua jinsi ya kulima kilimo cha kisasa cha maua. Na hii huhitaji hata kuwa na greenhouse. Na unaweza anza na kwa mtaji usiozidi laki moja na unapata faida kubwa baada ya miezi 3 tu.

Katika kilimo chako utapanda miche 150 kwa square metre sasa itategemea eneo lako lina ukubwa gani. Mche mmoja utauuza kwa sh. 6 hivyo kwa sq metre unatengeneza sh. 900. Mfano kama una shamba la ekari 1 utapata miche 735000 ambapo ukiiuza utapata sh. 4,410,000. Na hii ni baada ya siku 75 - 90 tokea umeipanda. Pia utajifunza technique ya upandaji itakayokuwezesha kuweza kuvuna mara 2 kwa wiki kwa mwaka mzima. Hivyo piga hesabu utapata sh. ngapi kwa mwaka. Soko la maua lipo sana.
 

Tunashukuru kwa ofa zako nzuri
 
Hii imekaa poa sana, once I will have stablized nitaipeleka home ili iwakeep busy watu wangu wa home. Muda mwingi huwa hawana kazi za kufanya baada ya msimu kuisha hata kazi zao za msimu ni very unproductive. Au hii tekinolojia inahitaji nishati ya umeme?
 

Yaani wewe jamaa ni kifaa sana maana material zako unazouza zinajieleza kupita maelezo kupita hata mtu alienda Srilanka kusomea kilimo.

Naongea kwa ushahidi maana nilinunua kitabu chako cha mkaa kimejieleza mno japo sijaanza hadi sasa kutokana na changamoto sababu binafsi
 

Hicho kilimo cha maua hakihitaji nishati ya umeme wala hicho cha greenhouse
 

Omba Mungu akusaidie hizo sababu binafsi zisikuzuie tena ili nawe uanze mradi na ujipatie kipato maana maisha ya siku hizi yamekuwa magumu, vitu vimepanda bei hivyo kama hauna mradi wa kukuingizia kipato cha ziada maisha yanakuwa sio matamu
 
Omba Mungu akusaidie hizo sababu binafsi zisikuzuie tena ili nawe uanze mradi na ujipatie kipato maana maisha ya siku hizi yamekuwa magumu, vitu vimepanda bei hivyo kama hauna mradi wa kukuingizia kipato cha ziada maisha yanakuwa sio matamu

Ni kweli unachoongea. Ni ukweli uliowazi kuwa watz wengi kwa sasa wanakabiliwa na maisha magumu yenye kipato kisichokizi mahitaji yao. We tafuta watu kuanzia tarehe 10 - 23, hakuna mwenye hela.
 
Unajua mimi ni mpya katika hii forum ila nilipoona post yako hii kuhusu greenhouse ilinivutia ikabidi tu nitoe hela kidogo niliyokuwa nimeihig=fadhi kwa ajili ya matumizi mengine ili niweze kununua mafunzo yako ya greenhouse. Ila mafunzo yaliyonisaidia kuanza kufanya miradi ni zile dvd zako ulizonitumia kama ofa ambazo ilikuwa ni ya jinsi ya kutengeneza mkaa na nyingine ya kufanya kilimo cha maua hata kama hauna greenhouse. Kusema ukweli sikuwa na ile 600,000 ya kujenga greenhouse hivyo nikaamua nianze na mradi wa mkaa ambao unaweza anza hata ukiwa na sh. 10,000. Nilianza mkaa kutengeneza na kuwauzia washkaji zangu wachoma chips na pesa nilizopata niliweza kuanza kujenga greenhouse yangu. Mpaka sasa nimeshafikia kuanza kupanda mbegu. Mimi nachukua nafasi hii kukushukuru sana kwa zile dvd zako za ofa zimenisaidia sana. Niliamua kuanza mradi wa greenhouse ila nikajishtukia nimeanza na mradi wa mkaa na sasa ndo nimeingia kwenye greenhouse. Naweza kusema nilianza kwa sh. 10,000 kuingia kwenye greenhouse hahaha!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…