Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 649
- 547
- Thread starter
- #61
Mkuu nimekuwa nikiifuatilia hiyo technology ya greenhouse kwa umakini mkubwa na leo ndo nimebahatika kuiona hii post na nina maswali machache kama ifuatavyo:
!. Je hizo DVD unazotoa zinaelekeza jinsi ya kuaandaa udongo katika greenhouse
2. Nilikua nikihitaji greenhouse kwa kilimo cha nyanya, Je hiyo DVD yako ina maelekezo hayo?
3. Je gharama za soil test na water test zipo inclusive kwenye hiyo 600,000/= ?
4. Je gharama za tank la maji + fertilizers zipo ndani ya hiyo bei (maana umesema inaexclude poles pekee)
5. Je una miaka mingapi katika hiki kilimo cha greenhouse na je unawezanisaidia moja kwa moja kwa makubaliano maalum kama nikipata matatizo kwenye greenhouse yangu?
Suggestions:
1. Ungepost atleast picha kadhaa za greenhouse yako ili utuongezee imani kuwa jambo hili linawezekana
2. Ungewapa wanaJF japo list ya masupplier ambayo wewe au mtu yeyote alitumia ili tusihangaike mno maana huwezi enda hardware store yeyote ukavikuta.
Vinginevyo BIG UP sana kama hii kitu inawezekana maana utakuwa umekomboa wengi maana m5 ni pesa kubwa kwa wengi wetu.
1. Ndio inaonyesha jinsi ya kuandaa udongo
2. Inafundisha hatua kwa hatua kujenga greenhouse na pia hatua kwa hatua junsi ya kulima nyanya
3. Ndio
4. Katika technology yetu huhitaji kuwa na tank, unatumia technology ya kisasa ya mwagiliaji
5. Ndio inawezekana.
6. Unaponunua hii dvd unapata pia mawasiliano ya ma supplier wa vifaa