Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika 600,000 hii kuna gharama ya watu wa kukukatia nguzo hizi. Wakati mwingine kila kitu si lazima ununue.
kweli mkuu,
nia ni kupunguza gharama kumwezesha mtu wa kipato cha kawaida kumudu hii kitu, nimekukubali mkuu.
pamoja.
Mkuu hapo naona muhusika humtendei haki, hizo extra cost unazosema ziko variable kutegemea unanunua vifaa husika kutoka kwa duka gani, bila kujali sehemu unaponunua lakini nina hakika SUM TOTAL ya gharama zote haiwezi kuzidi laki nane/tisa - je unaweza kulinganisha na wale wanaojenga G.H kwa gharama ya million tano na ushei?
Binafsi sioni kama Biashara2K anawawekea Watanzania shinikizo la aina fulani ili wanunue DVD yake, mwisho wa siku mwenye uhamuzi wa mwisho wa je anunue au hasinunue DVD ya Biashara2K ni mteja mwenyewe. Mimi nawasihi Watanzania wenzangu tujaribu kuwapa moyo Watanzania wenzetu wenye nia ya ku-contribute ideas nzuri za miradi ambayo hiko affordable kwa Watanzania walio wengi, hata kama wahusika wanatoza fee kidogo, kwani tatizo liko wapi - tusiwakatishe tamaa Watanzania wenzetu jamani kwa kuwafikiria ni WASANII.
Mkuu Hata mie namuunga mkono kwa juhudi zake, na alinielewesha nikaelewa vizuri
Ni kwamba tu nilikuwa sijamuelewa vizuri kumbe yeye alikuwa anazungumzia material only mie nikaelewa ni kujenga complete GH, ndio maaana ukaona natilia mashaka kwa hili...
Tupo pamoja
Mimi huku nilipo hakuna haja ya kununua hizo nguzo. Unampa hela kijana ya mboga anakukatia chap chap. Leo kijana huku ameshaanza hiyo kazi
Hebu tueleze mpaka sasa umefikia hatua gani ya ujenzi wa GH yako
Ofa bado ipo?
Ofa bado ipo ni sh. 25,000 tu unaipata kwa email
Nashukuru. Ntakupigia baada ya dakika chache maana juzi jpili kwenye amka na badilika niliona jamaa anahojiwa anasema kuwa greenhouse wanajenga kwa sh. mil. 5 sasa mimi ntazitoa wapi, ila laki 6 naweza zikusanya kusanya
Usijali hayo maisha ya kukusanya kusanya ndio maisha ya asilimia 85 ya watanzania, hivyo usijione uko pekee yako. Na watu wengi walioendelea kimaendeleo walianza kwa kujikusanyakusanya tu
Je umekuwa ukihangaika katika mawazo yako na maswali mengi kuhusu greenhouse? Je umekuwa ukipata stress (msongo wa mawazo) kutokana na kutopata maelezo na mafunzo sahihi ya jinsi ya kufanya kilimo cha gharama nafuu cha greenhouse hali inayosababisha upate stress? Je umekuwa ukijiuliza maswali miaka nenda rudi bila kupata majibu na hii imekuwa ikikukera siku hadi siku? Je umekuwa ukipoteza pesa zako kuingia kwenye mtandao kutafuta habari za greenhouse ila umekuwa hupati maelezo yanayotimiliza mtima wako na mwishowe ukiona pesa zako zinapotea hivi hivi kila mwisho wa mwezi ukipata mshahara wako? Je umekuwa ukiuonea huruma mshahara wako jinsi unavyopotea?
Usijali. Mimi Biashara2000, kwa walioshanunua vitabu vyangu wanajua jina langu halisi, niko kwa ajili ya kuondoa msongo wa mawazo unaokusumbua kuhusu greenhouse farming. Niko kwa ajili ya kukusaidia kufahamu kuhusu greenhouse ya bei nafuu bila kutumia mamilioni ya shilingi. Mimi naamini kuwa kilimo hakitakiwi kuwa bei ghali. Kama kikiwa bei ghali jua umeibiwa.
Mimi nimeandaa DVD inayokufundisha na kukuonesha jinsi ya kutengeneza greenhouse ya gharama nafuu (593,600/=) inayokufundisha yafuatayo:
1. Jinsi ya kuandaa eneo lako na kujua udongo unaofaa
2. Huhitaji mamilioni kujenga greenhouse
3. Ni video hivyo unaona hatua kwa hatua kutoka kuanda eneo, kujenga greenhouse hadi kuvuna
4. Hii DVD inakupa maelezo ya asilimia nyingi tu zaidi ya kitabu changu kinavyoelezea. Yaani yale uliyosoma kwenye kitabu unayaona katika video.
5. Hii video ndio mjomba wangu aliiona na kumwezesha kujenga greenhouse yake ya gharama nafuu.
6. Greenhouse hii ni ya 8x15 hivyo inakutengenezea mil. 27 katika miezi nane.
7. DVD hii inapatikana kwa sh. 35,000 ukitaka nikuletee ulipo Dar au Kibaha na sh. 30,000 kuifuata Makongo Juu hapa Dar.
8. DVD hii inakupa mafunzo yote kuhusu kujenga greenhouse kwa chini ya sh. 600,000/=
Mjomba wangu anayemiliki greenhouse anayefanya shughuli zake mjini mlandizi kibaha amekubali kwa wale wote wanaotaka kutembelea greenhouse yake ya gharama nafuu kuwa kuanzia tarehe 21 mwezi wa saba anakaribisha mtu yoyote anayetaka kutembelea greenhouse yake na kujifunza anakaribishwa. Ada yake ni sh. 25,000 tu, Ila utakachopata kitakuokolea mamilioni ya shilingi.
Nimeamua kuitoa DVD hii kutokana na watu 11 walionipigia simu kuanzia tarehe 21 June hadi jana wanaotaka niwathibitishie wamba greenhouse inaweza kujengwa kwa chini ya laki 6 na ukatengeneza milioni 27 ndani ya miezi 7. Kwa watu hawa nimezalisha DVDs zinazowatosheleza nyie, ila kwa wanaotaka wengine mnaweza nipigia kwa 0758 308193.
Pia kina DVD zinazoonesha jinsi ya kutengeneza mkaa wa kisasa hata kana una mtaji wa 5,000. DVD hii inapatikana kwa sh. 15,000.
Kwa wale wote walioshanunua vitabu vyangua wanapata discount.
DVD zote hizi zinapatikana kuazia kesho jumamosi 05 Julai.
Nawapenda nyote.
Asanteni.
Ni mazao gani mengine unaweza panda katika greenhouse?
Ni mazao gani mengine unaweza panda katika greenhouse?
namimi nasubiria ujibiwe apa!Biashara2000 Insect netting material, Polythelin, Barb wire
Send PM
Vifaa hivi vinapatika duka gani hapa Dar es Salaam na gharama zake zikoje, nataka nianze kununua vifaa vya ujenzi kidogo kidogo.
Lakini ningekushauri upande mazao yanayoota kwenda juu kama vile nyanya kwa kuwa utapata mazao mengi kuliko mazao yanayoota kwa kutambaa chini