Greenhouse katika video

Greenhouse katika video

Status
Not open for further replies.

Biashara2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
649
Reaction score
547
Je umekuwa ukihangaika katika mawazo yako na maswali mengi kuhusu greenhouse? Je umekuwa ukipata stress (msongo wa mawazo) kutokana na kutopata maelezo na mafunzo sahihi ya jinsi ya kufanya kilimo cha gharama nafuu cha greenhouse hali inayosababisha upate stress? Je umekuwa ukijiuliza maswali miaka nenda rudi bila kupata majibu na hii imekuwa ikikukera siku hadi siku? Je umekuwa ukipoteza pesa zako kuingia kwenye mtandao kutafuta habari za greenhouse ila umekuwa hupati maelezo yanayotimiliza mtima wako na mwishowe ukiona pesa zako zinapotea hivi hivi kila mwisho wa mwezi ukipata mshahara wako? Je umekuwa ukiuonea huruma mshahara wako jinsi unavyopotea?

Usijali. Mimi Biashara2000, kwa walioshanunua vitabu vyangu wanajua jina langu halisi, niko kwa ajili ya kuondoa msongo wa mawazo unaokusumbua kuhusu greenhouse farming. Niko kwa ajili ya kukusaidia kufahamu kuhusu greenhouse ya bei nafuu bila kutumia mamilioni ya shilingi. Mimi naamini kuwa kilimo hakitakiwi kuwa bei ghali. Kama kikiwa bei ghali jua umeibiwa.

Mimi nimeandaa DVD inayokufundisha na kukuonesha jinsi ya kutengeneza greenhouse ya gharama nafuu (593,600/=) inayokufundisha yafuatayo:

1. Jinsi ya kuandaa eneo lako na kujua udongo unaofaa
2. Huhitaji mamilioni kujenga greenhouse
3. Ni video hivyo unaona hatua kwa hatua kutoka kuanda eneo, kujenga greenhouse hadi kuvuna
4. Hii DVD inakupa maelezo ya asilimia nyingi tu zaidi ya kitabu changu kinavyoelezea. Yaani yale uliyosoma kwenye kitabu unayaona katika video.
5. Hii video ndio mjomba wangu aliiona na kumwezesha kujenga greenhouse yake ya gharama nafuu.
6. Greenhouse hii ni ya 8x15 hivyo inakutengenezea mil. 27 katika miezi nane.
7. DVD hii inapatikana kwa sh. 35,000 ukitaka nikuletee ulipo Dar au Kibaha na sh. 30,000 kuifuata Makongo Juu hapa Dar.
8. DVD hii inakupa mafunzo yote kuhusu kujenga greenhouse kwa chini ya sh. 600,000/=

Mjomba wangu anayemiliki greenhouse anayefanya shughuli zake mjini mlandizi kibaha amekubali kwa wale wote wanaotaka kutembelea greenhouse yake ya gharama nafuu kuwa kuanzia tarehe 21 mwezi wa saba anakaribisha mtu yoyote anayetaka kutembelea greenhouse yake na kujifunza anakaribishwa. Ada yake ni sh. 25,000 tu, Ila utakachopata kitakuokolea mamilioni ya shilingi.

Nimeamua kuitoa DVD hii kutokana na watu 11 walionipigia simu kuanzia tarehe 21 June hadi jana wanaotaka niwathibitishie wamba greenhouse inaweza kujengwa kwa chini ya laki 6 na ukatengeneza milioni 27 ndani ya miezi 7. Kwa watu hawa nimezalisha DVDs zinazowatosheleza nyie, ila kwa wanaotaka wengine mnaweza nipigia kwa 0758 308193.

Pia kina DVD zinazoonesha jinsi ya kutengeneza mkaa wa kisasa hata kana una mtaji wa 5,000. DVD hii inapatikana kwa sh. 15,000.

Kwa wale wote walioshanunua vitabu vyangua wanapata discount.

DVD zote hizi zinapatikana kuazia kesho jumamosi 05 Julai.

Nawapenda nyote.

Asanteni.
 
Ok kusema ukweli mimi sio mtu wa kusoma vitabu, na niliponunua kitabu chako mwezi mmoja uliopita sijakisoma mpaka leo kutokana na mimi mwenyewe sio msomaji wa vitabu. Ila kwa DVD utakuwa umenipa nafuu sana ya moyo wangu. Inacheza katika DVD players za kawaida za nyumbani?
 
Hii DVD itakupa mafunzo yote uyahitajiyo kujua kuhusu greenhouse na wala huhitaji kuwa na hofu. Ujishaangalia DVD hii na kujifunza huna haja ya kutumia hela zako tena kutafuta maelezo kuhusu greenhouse ambayo ni ngumu kuyapata katika dunia ya leo ya ubinafsi. Ndio inacheza katika players zote
 
By the way, nakaribisha comments zote zitakazonikosoa ili zizijibu, maana kuna watu wanaamua kutumia internet kuchafua wenzao na kukosoa vitu vinavyosaidia watu wengi katika jamii zetu za Kitanzania.
Sijui kuhusu nyie, ila mimi naamini kuwa kilimo hakitakiwi kuwa expensive (gharama kubwa). Na naamini kuwa asilimia 80 ya watanzania wanategemea kilimo, si baba yako, binamu, shangazi, bibi au bau lazima mmoja au waili au watatu wanategemea kilimo, hivyo kwa anayeamua kunikosoa unakaribishwa kwa mikono miwili na weka hoja zako hapa, bila matusi ndio watanzania tulivyolelewa.
 
Hizo gharama zinakava nini? na je wewe ndio unaekuja kujenga?
 
Mkuu nakutakia kila la kheri na utafanikiwa sana, maanake unaonekana huna HULKA ya kutaka ku-ripoff Watanzania wenzako ambao ni ignorant katika nyanja za horticulture - binafsi nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini utengenezaji/erecting a structure ya a GreenHouse imu-cost an arm and leg Mtanzania mlala hoi mpaka imuchukue an eternity to break even!!

Tatizo la Watanzania tulio wengi hatupendi kusoma vitabu au kutumia mtandao kikamilifu kwa manufaa yetu, mambo mengi ya kusaidia wanadamu kiuchumi yanapatikana 4 free kwenye mtandao, wapo wanadamu wengi kwenye mtandao wenye ujuzi na moyo kama wa kwako wa kuwasaidia/fundisha kwa vitendo masuala ya kilimo, kiufundi nk bila gharama yoyote au wanatoza fee kidogo tu - lakini wanakueleza in details nini cha kufanya - hawafichi fichi KITU!!

Once again, nakutakia kila la kheri katika harakati zako za kuwakomboa walala hoi wenzako, naona na shamba la mjomba wako la huko Mlandizi Kibaha litagehuka HEKALU la kuhiji kwa Watanzania tulio wengi tutahitaji handon experience ya nyanja za horticulture kutoka shambani kwake, jitayarisheni kujenga mahema ya wageni. Mungu akulinde MKUU.
 
By the way, nakaribisha comments zote zitakazonikosoa ili zizijibu, maana kuna watu wanaamua kutumia internet kuchafua wenzao na kukosoa vitu vinavyosaidia watu wengi katika jamii zetu za Kitanzania. Sijui kuhusu nyie, ila mimi naamini kuwa kilimo hakitakiwi kuwa expensive (gharama kubwa). Na naamini kuwa asilimia 80 ya watz wanategemea kilimo, si baba yako, binamu, shangazi, bibi au bau lazima mmoja au waili au watatu wanategemea kilimo, hivyo kwa anayeamua kunikosoa unakaribishwa kwa mikono miwili na weka hoja zako hapa, bila matusi ndio watz tulivyolelewa.
Mkuu naona thread yako umeipost past midnight, kama huko serious ungekuwa mtandaoni kujibu masuala ya potential customers!!
 
Mkuu nakutakia kila la kheri na utafanikiwa sana, maanake unaonekana huna HULKA ya kutaka ku-ripoff Watanzania wenzako ambao ni ignorant katika nyanja za horticulture - binafsi nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini utengenezaji/erecting a structure ya a GreenHouse imu-cost an arm and leg Mtanzania mlala hoi mpaka imuchukue an eternity to break even!!

Tatizo la Watanzania tulio wengi hatupendi kusoma vitabu au kutumia mtandao kimamilifu kwa manufaa yetu, mambo mengi ya kusaidia wanadamu kiuchumi yanapatikana 4 free kwenye mtandao, wapo wanadamu wengi kwenye mtandao wenye ujuzi na moyo kama wa kwako wa kuwasaidia/fundisha kwa vitendo masuala ya kilimo, kiufundi nk bila gharama yoyote au wanatoza fee kidogo tu - lakini wanakueleza in details nini cha kufanya - hawafichi fichi KITU!!

Once again, nakutakia kila la kheri katika harakati zako za kuwakomboa walala hoi wenzako, naona na shamba la mjomba wako la huko Mlandizi Kibaha litagehuka HEKALU la kuhiji kwa Watanzania tulio wengi tutahitaji handon experience ya nyanja za horticulture kutoka shambani kwake, jitayarisheni kujenga mahema ya wageni. Mungu akulinde MKUU.

Nashukuru
 
Hizo gharama zinakava nini? na je wewe ndio unaekuja kujenga?

Uzuri wa hii DVD inakufundisha jinsi greenhouse inavyojengwa kuanzia mwanzo mwisho. Hivyo si lazima mimi ndio nije kukujengea. Unatumia vijana wako tu kwa kuwapa maelekezo. Ni rahisi.

Gharama ya kujenga greenhouse hii ina cover vifaa kama insect netting material, Polythelin, Barb wire, umwagiliaji (hapa tunatumia teknolojia ya bei rahisi) na kadhalika.
 
Teknolojia gani tena hiyo ya umwagiliaji?
 
Uzuri wa hii DVD inakufundisha jinsi greenhouse inavyojengwa kuanzia mwanzo mwisho. Hivyo si lazima mimi ndio nije kukujengea. Unatumia vijana wako tu kwa kuwapa maelekezo. Ni rahisi. Gharama ya kujenga greenhouse hii ina cover vifaa kama insect netting material, Polythelin, Barb wire, umwagiliaji (hapa tunatumia teknolojia ya bei rahisi) na kadhalika.
Mkuu hapo ndio umefunika kweli kweli, utavuna/pata wateja wengi - hata nikisoma majibu yako unaonekana huko sincere kweli kweli!!! Now what's the catch - simple! Ni PR yako tu - yaani ukisha sema kwamba sio lazima wewe uje kuwajengea wateja G.H, basi hapo watu wenye akili zao wanajua kumbe jamaa huyu si mbinafsi ana nia thabiti ya kuwasaidia wenzake, nikwambie kitu? Uwazi wako huo utawatia hamasa wateja wakupe na kazi ya kuwajengea GreenHouse. Bravo Biashara 2K.
 
Teknolojia gani tena hiyo ya umwagiliaji?
Mkuu nadhani Biashara kajieleza vizuri, amesema ni teknolojia isiyo tumia gharama nyingi kuinunua - teknolojia za umwagiliaji ziko lukuki lakini zote zina serve the same useful purpose namely kumwagilia mimea hisikahuke.
 
Mkuu nadhani Biashara2K kajieleza vizuri, amesema ni teknolojia hisiyo tumia gharama nyingi kuinunua - teknolojia za umwagiliaji ziko lukuki lakini zote zina serve the same useful purpose namely kumwagilia mimea hisikahuke.

Katika njia inayofundishwa katika DVD hii inatumia malighafi/material unazotumia/ulizonazo nyumbani, tena ni vitu ambavyo umeshavitumia sasa badala ya kuvitupa, una vi reuse yaani unavitumia tena hivyo unaweza usitumie drip pipes za umwagiliaji kama uwezo wako wa kifedha ni mdogo, ushahidi ukionekana humu JF watu ni wananchi wa kipato cha chini.
 
Ni kweli mkuu, tatizo letu waswahili tu wavivu hatuko innovative - mara zote tunafikiria kwamba Wazungu na watu wa ASIA ndio wenye uwezo mkubwa kiakili, mindsets zetu za ajabu sana!! Just imagine chupa za plastic za Mineral water zimatapakaa karibu kila kaya, kama huna unaweza kuokota barabarani tu, ni watu wachache wanaojua unaweza kuziwekea syringe (sindano za hospitalini) za kawaida ukazijaza maji na kuzitumia kwenye drip irrigation!!!
 
Syringe za nini tena? huoni kwamba unaongeza gharama?. Sisi tunatumia teknolojia isiyo na gharama kabisa.
 
Nimepata maombi kadhaa kwa baadhi ya watu tokea nimepost hili tangazo. Hawa ni watu ambao wako mikoani ambao inakuwa ngumu kupata DVD hivyo nimetengeneza utaratibu ambapo DVD video hii ya mafunzo naweza kukutumia kwa email nawe ukaiweka kwenye DVD/CD yako. Hii imefanya bei iwe katika punguzo la bei kutoka sh. 35,000 hadi 25,000. Utaratibu ni kwamba unanitumia hiyo ada kwa M-pesa na email yako nami nakutumia muda huo huo. Hii ni nafuu kwa walioko mikoani.
 
Syringe za nini tena? huoni kwamba unaongeza gharama?. Sisi tunatumia teknolojia isiyo na gharama kabisa.

Acha kudanganya ..... haakuna technology isiyokuwa na gharama ..... technology yeyote ile huendana na research and development (R&D)

Narudia tena tunahitaji uhalisia .... Ipo Wapi greenhouse yako na utoe ushuhuda wa mazao uliyopata against costs encored .... then we can realize cost over benefit

Sometimes many projects here in JF are white elephants
 
Bwana Biashara2000 huwezi kuridhisha kila mtu. Watu wengine hata ukiwaonyesha bado watashindwa kufanya.
 
Syringe za nini tena? huoni kwamba unaongeza gharama?. Sisi tunatumia teknolojia isiyo na gharama kabisa.

Mkuu nakushauri u-revisit my post kwanza usome kwa umakini zaidi, majibu yako yanaonyesha hukunielewa!!! - Mimi hapa nilikuwa sizungumzii masuala ya GreenHouse i.e project yako! Nizungumzia WATANZANIA tujaribu kuwa innovate, nikatoa mfano mdogo ambao mtu anaweza kuhutumia kunyunyizia mimea inayo zunguka nyumba yake - repeat mfano wangu had nothing to do na mambo/masuala yenu ya GREENHOUSE.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom