Ha,ha,ha,haaa,umenichekesha,umesema alikuwa mungu wa wagiriki,pia alikua ni mtoto wa Zeus,kisha unasema hana uhusiano na upagani?Unanishangaza.Unamjua Zeus wewe?Unamjua huyo apollo?Hebu google hayo majina kisha useme eti has nothing to do with upagani?Unashangaza!
Hujanielewa mkuu, namjua Zeus, na Greek mythology naijua kwa kuwa nimeisomea, mkuu..nilimaanisha katika uhusiano kati ya Apollo (aliyekuwa mungu wa wagiriki) na mimi kupewa jina hilo. Mimi nilipewa kwa kigezo cha u-handsome, na ni jina ambalo ulaya linatumika kuwapa watoto wa kiume ambao ni cutes na ndio maana aliyenipa jina hilo ni babu yangu aliyekuwa anaishi huko, yeye alinipa kutokana na maana ya jina katika eneo la ulaya na sio kuwa aliota ndoto bali alikuwa anajua maana ya jina hilo kwa tamaduni za kule. Nimekuwa na nimesoma, na maana nimeielewa kutoka katika chimbuko lake na maana yake kwa sasa.
[TABLE="class: mainbox, width: 680"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
[TD="width: 180"]

[/TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][h=2]Family of Apollo[/h]
Parents: Apollo was born by
Zeus, the King of the Gods, and the mortal woman Leto on the Greek island of
Delos. [
[SUB]Read the story[/SUB]...]
Siblings: Apollo had an older twin sister, the Greek goddess of the hunt
Artemis.
Relationships: The Nymphs Cyrene and
Daphne and the mortal Coronis
Children:
Asclepius (The god of Healing), Orpheus, Troilus and Aristaeus[h=2]Apollo, the God of Music[/h]Apollo was the Greek god of the Music. He invented the lute(a plucked string instrument with a body shaped like a pear), but he was more popular for playing the lyre, which was invented by
Hermes, the messenger of the gods. Apollo excelled in important music contests, competing against Greek god
Hermes and the Satyr
Pan as well as other deities.[h=2]Apollo, the God of Prophecy[/h]In addition, Apollo owned the precious gift of prophecy, given to him by his father Zeus in his infancy. He was the patron of the ancient city of
Delphi, where the first oracle of Ancient Greece was located. The district was considered to be the Navel of the World (the "Omphalus") in Ancient times.[h=2]Appearance of Apollo[/h]
Apollo was a handsome, strong and youthful god with impressive golden hair.[h=2]Symbols of Apollo[/h]Apollo's symbols were the lyre, the tripod, the laurel tree and the navel stone. His plants were the myrtle and the laurel. Apollo's sacred animals were the wolf, the raven and the lizard.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Source:
Greek God Apollo, the God of the Sun and the Light in Greek Mythology
Hiyo appearance ya Apollo ndio iliyonofanya mimi nikalipata hilo jina. Najua ni kutoka katika greek mythology but mimi sio mgiriki na sina imanii za kigiriki, mimi siwezi kuwa mpagani eti kisa jina ni la kipagani, hata waisraeli, misri, spain n.k wanalitumia kumaanisha handsome boy ila hawalitumii kipagani tena japokuwa lilikuwa la kipagani
750-550 BCE.