(Gregorian calendar) Is he pious?

aiseee
 

Mkuu Kidonge,
nadhani hapa tutaleta hoja nyingine ambayo itakuwa nje ya mada

Lakini maswali ya kujiuliza tu, hao wayahudi walikuwa wanaongea Lugha gani? je Lugha yao ilikuwa inaandikika?
 
Kituko,kabla sijajibu hoja yako ya upya wa namba naomba uniambie hizi namba tunazotumia leo zilianza kutumika lini?Kuhusu maandishi ya kofia ya papa angalia vyema post yangu utaona nimeyaandika.Kuhusu amri ambazo Mungu alimpa Musa hakumpa kwa lugha ya Aramaic,wakati huo Musa alikuwa anazungumza kiebrania.Ndugu Kidonge mashariki ya kati kulikua na lugha nyingi,Misri ya kwenye maandiko sio ya leo ambayo ilivamiwa waarabu.Wayahudi walikua wanazungumza lugha tofauti kulingana na nyakati na waliokua wanawatawala!
 
Sio yeye tu,mapapa wote walikua member including benedict xvi,pamoja na kofia yao yenye maneno VICARVIS FIL DEI(sina uhakika kama nimepatia speling)pamoja na kanisa katoliki lote!
Kwa taarifa yako jina rasmi la papa katika kilatini ni VICARIUS CHRISTI (VICA WA KRISTO) na wala sio VICARIUS FILLI DEI (VICA MWANA WA MUNGU) kama mnavyotaja wengi,kwani hili jina vicarius filli dei likifanyiwa hesabu ya nambari jumla yakf ni 666.Kwa hivyo nambari hii kamwe haipaswi kutumika kumtaja mtu yeyote.kwa hivyo Tiara ya papa haijawahi wekwa hiyo alama ya 666 wala hilo jina la vicarius filli dei bali kunajina vicarius christi,na ujuwe huo unao usema ni uvumi tu wa kulishutumu kanisa katoliki yakuwa ni waabudu shetani na kulitaka kulisambaratisha tu.Usipende kuamini usio yajua ndugu.
 

Mkuu,
Hilo jina la Papa hujaliandika maana umesema hulijuhi vizuri, ungeliweka ili tulijue na tulichambue

Kumbe hata wewe hujuhi hizi namba tunazotumia sasa zilianza kutumika lini?, kama hili la msingi kabisa hulijuhi unawezaje kujenga hoja zako kwa kuzitumia hizi namba na huyo papa Gregory ambaye wakati wake walikuwa hawatumii hizi namba, maana mpaka leo Mapapa bado wanatumia namba za Kirumi, I II,III.....X

HIZI HABARI UNAZOZILETA NI ZA UONGO, WATU TU WANAJARIBU KUTENGENEZA MADHEHEBU TU

MAANA HIYO UNAYOSEMA 11 (eleven) kwa Mrumi ni namba mbili (II) na kwa mujibu wako namba mbili ni takatifu,

fatilia hii kitu vizuri kwa kushirikisha ubongo wako

ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO
 

mkuu labda unapoint ya msingi hamna sababu yoyote ya msingi ya vifo vyao isipokuwa waliuawa sababu tu walichaguliwa mwaka unaoanzia 0 (there must be more logical explanation than that) afu sijajua kwanini unasema sifuri inaanza kwani wewe unahesabu kuanzia kulia
 
Kituko,hujanielewa na unajichanganya mno!Kwanza sikuzungumzia jina la papa nilizungumzia jina la cheo cha papa,nilichosema sina uhakika ni spelling za jina la cheo hicho,tazama utaona niliandika VICARIUS FILI DEI.Kuhusu namba niliekuuliza useme ni lini namba hizi zilianza kutumika ni wewe uliesema hivyo na ukasema ni namba mpya,nilikuuliza ili nijue kama unajua unachozungumza na siyo kwamba nilisema sijui namba zilianza kutumika lini,hebu nijibu zilianza kutumika lini kisha tuendelee!
 

Ndugu sijasema sifuri inaanza bali mwaka unaoishia na sifuri!Yes there is a logical eplanation,tell me who did all of this?
 
Apollo came from the word Apollion which means destroyer,do you knw who is destroyer?Read Rev 9:11!

Rev iliandikwa baada ya Yesu AD, trace back kwa wagiriki, Apollo alikuwa mungu wa sun, beauty, arts and music. Alikuwa mungu wa kiume mzuri kuliko miungu wengine wa kigiriki ndio maana akaitwa Apollo (handsome), alikuwa mtoto wa Zeus. Mimi hili ni jina langu la kuzaliwa. It has nothng to do with upagani, lina maana ya handsome, na mimi ni handsome thats why babu yangu aliyeishi spain alinipa jina hilo kwakuwa aliniona nipo cute nilipokuwa mdogo.
 

Ha,ha,ha,haaa,umenichekesha,umesema alikuwa mungu wa wagiriki,pia alikua ni mtoto wa Zeus,kisha unasema hana uhusiano na upagani?Unanishangaza.Unamjua Zeus wewe?Unamjua huyo apollo?Hebu google hayo majina kisha useme eti has nothing to do with upagani?Unashangaza!
 

Hujanielewa mkuu, namjua Zeus, na Greek mythology naijua kwa kuwa nimeisomea, mkuu..nilimaanisha katika uhusiano kati ya Apollo (aliyekuwa mungu wa wagiriki) na mimi kupewa jina hilo. Mimi nilipewa kwa kigezo cha u-handsome, na ni jina ambalo ulaya linatumika kuwapa watoto wa kiume ambao ni cutes na ndio maana aliyenipa jina hilo ni babu yangu aliyekuwa anaishi huko, yeye alinipa kutokana na maana ya jina katika eneo la ulaya na sio kuwa aliota ndoto bali alikuwa anajua maana ya jina hilo kwa tamaduni za kule. Nimekuwa na nimesoma, na maana nimeielewa kutoka katika chimbuko lake na maana yake kwa sasa.

[TABLE="class: mainbox, width: 680"]
[TR]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][h=2]Family of Apollo[/h]Parents: Apollo was born by Zeus, the King of the Gods, and the mortal woman Leto on the Greek island ofDelos. [[SUB]Read the story[/SUB]...]
Siblings: Apollo had an older twin sister, the Greek goddess of the hunt Artemis.
Relationships: The Nymphs Cyrene and Daphne and the mortal Coronis
Children: Asclepius (The god of Healing), Orpheus, Troilus and Aristaeus[h=2]Apollo, the God of Music[/h]Apollo was the Greek god of the Music. He invented the lute(a plucked string instrument with a body shaped like a pear), but he was more popular for playing the lyre, which was invented by Hermes, the messenger of the gods. Apollo excelled in important music contests, competing against Greek god Hermes and the Satyr Pan as well as other deities.[h=2]Apollo, the God of Prophecy[/h]In addition, Apollo owned the precious gift of prophecy, given to him by his father Zeus in his infancy. He was the patron of the ancient city of Delphi, where the first oracle of Ancient Greece was located. The district was considered to be the Navel of the World (the "Omphalus") in Ancient times.[h=2]Appearance of Apollo[/h]Apollo was a handsome, strong and youthful god with impressive golden hair.[h=2]Symbols of Apollo[/h]Apollo's symbols were the lyre, the tripod, the laurel tree and the navel stone. His plants were the myrtle and the laurel. Apollo's sacred animals were the wolf, the raven and the lizard.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Source: Greek God Apollo, the God of the Sun and the Light in Greek Mythology

Hiyo appearance ya Apollo ndio iliyonofanya mimi nikalipata hilo jina. Najua ni kutoka katika greek mythology but mimi sio mgiriki na sina imanii za kigiriki, mimi siwezi kuwa mpagani eti kisa jina ni la kipagani, hata waisraeli, misri, spain n.k wanalitumia kumaanisha handsome boy ila hawalitumii kipagani tena japokuwa lilikuwa la kipagani 750-550 BCE.
 

Hujanielewa mkuu, namjua Zeus, na Greek mythology naijua kwa kuwa nimeisomea, mkuu..nilimaanisha katika uhusiano kati ya Apollo (aliyekuwa mungu wa wagiriki) na mimi kupewa jina hilo. Mimi nilipewa kwa kigezo cha u-handsome, na ni jina ambalo ulaya linatumika kuwapa watoto wa kiume ambao ni cutes na ndio maana aliyenipa jina hilo ni babu yangu aliyekuwa anaishi huko, yeye alinipa kutokana na maana ya jina katika eneo la ulaya na sio kuwa aliota ndoto bali alikuwa anajua maana ya jina hilo kwa tamaduni za kule. Nimekuwa na nimesoma, na maana nimeielewa kutoka katika chimbuko lake na maana yake kwa sasa.

[TABLE="class: mainbox, width: 680"]
[TR]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Family of Apollo

Parents: Apollo was born by Zeus, the King of the Gods, and the mortal woman Leto on the Greek island ofDelos. [[SUB]Read the story[/SUB]...]
Siblings: Apollo had an older twin sister, the Greek goddess of the hunt Artemis.
Relationships: The Nymphs Cyrene and Daphne and the mortal Coronis
Children: Asclepius (The god of Healing), Orpheus, Troilus and AristaeusApollo, the God of Music

Apollo was the Greek god of the Music. He invented the lute(a plucked string instrument with a body shaped like a pear), but he was more popular for playing the lyre, which was invented by Hermes, the messenger of the gods. Apollo excelled in important music contests, competing against Greek god Hermes and the Satyr Pan as well as other deities.Apollo, the God of Prophecy

In addition, Apollo owned the precious gift of prophecy, given to him by his father Zeus in his infancy. He was the patron of the ancient city of Delphi, where the first oracle of Ancient Greece was located. The district was considered to be the Navel of the World (the "Omphalus") in Ancient times.Appearance of Apollo

Apollo was a handsome, strong and youthful god with impressive golden hair.Symbols of Apollo

Apollo's symbols were the lyre, the tripod, the laurel tree and the navel stone. His plants were the myrtle and the laurel. Apollo's sacred animals were the wolf, the raven and the lizard.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Source: Greek God Apollo, the God of the Sun and the Light in Greek Mythology

Hiyo appearance ya Apollo ndio iliyonofanya mimi nikalipata hilo jina. Najua ni kutoka katika greek mythology but mimi sio mgiriki na sina imanii za kigiriki, mimi siwezi kuwa mpagani eti kisa jina ni la kipagani, hata waisraeli, misri, spain n.k wanalitumia kumaanisha handsome boy ila hawalitumii kipagani tena japokuwa lilikuwa la kipagani 750-550 BCE.
 
Apollo,Nadhani wewe ndo hukunielewa,wewe ulisema umepewa jina hilo kwa sababu ya u-handsome,ukadai na apolo nae alipewa jina hilo kwa sababu hizohizo na ukasema jina hilo halihusiani na upagani,hapa ndo penye tatizo.Kwanza hilo ni jina la mungu wa kipagani,pili ulaya na maeneo mengi duniani wanaendeleza sana imani ya upagani ndo maana hata babu yako alieishi huko akakupa jina hilo.Halafu wewe unatumia jina la mungu wa kipagani huoni wewe ni una tatizo?Labda uwe sio mkristo.Yusu alimwambia Yohana tafsiri halisi ya Apollo kwenye Rev 9:11,sijui kama unataka kuendelea kuitwa jina la mungu wa kipagani,kama wewe ni mkristo utakua unajua fika kuwa hakuna ushirika kati ya upagani na ukristo.Wapagani wa Ulaya wanampenda sana mungu wao ndo maana wanawapa watoto wao majina ya miungu wa kipagani.Ibrahimu na mkewe walikua wanaishi Uru ya Wakaldayo,eneo lililokua na ibada ya kipagani,lakini Mungu alipotaka kumfanya Ibrahimu baba wa taifa lake aliwabadili majina yeye na mkewe,walikuwa na majina kama lako,majina ya kipagani!Zeus,Apollo,Nimrod,Jupiter nk hizi ni a.k.a za Lucifer,yapo majina mengi sana ya Lucifer!
 
tatizo ni nini? Je tatizo ni jina Apollo au imani ya Apollo? ndio ni mungu wa kipagani kama wewe unavyodai,ila je yeye ni mpagani? yeye kuitwa Apollo hakuna uhusiano na madai yako,kutokana na tafsiri aliyoichukua si tafsiri unayotaka iwe.Sioni umuhimu wa kubishana au kulazimisha maana.Je wewe unafaham maana na chimbuko la jina lako? Linawezekana nikawa linamaana mbaya au chimbuko baya lakini ni jinsi gani lina maana kwako na jinsi gani unavyolitumia likawa na utofauti na chimbuko au maana halisi ya jina...sijui upagani sijui ushetani hizo ni imani za watu,waache wawe ivyo kwani wamechagua wawe ivyo jaribu kuwabadili ila wakikataa waache,inawezekana kwao wanaona ni sahihi kuwepo huko.Cha muhimu shikilia imani yako usihukumu ya mwenzio,ikiwezekana muelimishe unapoona anapotea ila kamwe usilazimishe aamini unachoamini kama akitaka kufuata imani yako usimzuie au anaendelea na imani yake usimzuie. Usijione wewe ni bora zaidi ya fulani,kumbuka we ni binadamu tu nawe pia hauja kamilika.
 
Ok naona we are too far to answer the questiö! Mkuu tupe link ya papa greogory na kalenda yake katika ku-shape hizo event! Namaanisha kuwa hiyo kalenda ilisetiwa kuwa lazima i accomplish set of event unazo zitaja! Tupe ushahidi usio shaka!
 
kweli imani ni kaazi!!!hivi kuna haja gani kuyachunguza yaliyo ya shetani? badala ya kuchunguza yaliyo ya Mungu? biblia inasema yachunguzeni yaliyo juu, wala haitwambii tumtafakari shetani!!!!! then someni vizuri sifa na tabia za Mungu mtajua kuwa hamshirikishi ubongo vizuri katika kutafakari kwenu!!!
mara nyingi hoja siyo
siku bali ibada
wakati bali nini!!
Mungu
​ ni roho, kutaka kuabudiwa katika roho na kweli, full stop!!
 
Asante sana ndugu kwa kumpa somo maana mimi nimeshindwa kumuelewesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…