Grinder mashine na welding machine vinauzwa

Nadhani kashaongea kuwa ni inch 9,na ukizoom unaona model no ambayo ni GA 9020 kazi kwako.
 
Ukifika 500k PM yangu iko wazi kwa ajili ya biashara
Kwa mashine hizi na zilivyo katika hali yake bei haitokaa ifike huko ndugu yangu niwe mkweli na nisikupotezee muda wako wa kuendelea kusubiri.


Kwa mtu aliye serious bei ya ukomo ni 730000
 
Karibuni wadau mzigo bado upo na bei imeporomoka, kwa sasa unaweza kujichukulia mali ukafungue workshop yako kwa thamani ya shilingi 720000 pekee.


Karibuni sana
 
Wadau mzigo upo na bei ndio kama hivyo imepoa sana.

Karibuni
 
Wadau mzigo upo na bei ndio kama hivyo imepoa sana.

Karibuni
Mkuu kama hutajali punguza bei ufanye biashara hata kama wewe ulinunua ghali kuliko bei ya soko. Sijui kuhusu hiyo welding machine lakini ukinipa 350-380k nakupatia Makita Grinder kama hiyo hiyo mpya kabisa. Na ni makita org sio makita mt.
 
Ninesoma comments zoote hadi hapa.
Kwa leo sioni kama nina lakusema hapa...
 
Wadau nimerudi tena. Mzigo bado upo

Karibuni sana
 
Grinder pekee sh ngap nimchukulie wife asiwe anaita fundi akitaka kuweka mapazia yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…