Grinder mashine na welding machine vinauzwa

Grinder mashine na welding machine vinauzwa

Habari wadau mzigo upo sokoni bado. Mashine zote nitakuachia kwa Shilingi 700000 pekee.

Karibu sana
 
Mkuu kama hutajali punguza bei ufanye biashara hata kama wewe ulinunua ghali kuliko bei ya soko. Sijui kuhusu hiyo welding machine lakini ukinipa 350-380k nakupatia Makita Grinder kama hiyo hiyo mpya kabisa. Na ni makita org sio makita mt.
Nimepunguza bei. Kwa Sasa machine zote mbili nitazitoa kwa Shilingi 700000
 
Back
Top Bottom