Grok: Kuna Watanzania 21 Millioni kwenye social media

Grok: Kuna Watanzania 21 Millioni kwenye social media

Hapo hapo anatokea kahaba mmoja anafungia mtandao wa X...
 
Tanzania ni Nchi ya Walaji (Consumers) wa Kila products Kwa kuwa hatujawekeza kwenye bunifu zetu

Kipekee tumpe Kongole Melo Kwa ubunifu wake wa JF tunayoitumia

Aliona mbali Kwa kweli
 
Kwahyo wewe unavyosema unahesabiwa mara 9 kvp? wkt wewe una simu 1 tu na IP yake ni moja tu.
Kila mtandao unanihesabu kuwa mimi through IP "xy" ni mteja wao
 
Back
Top Bottom