Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Ndio unavyo karirishwa na madaktari au sio?Dawa za asili si kitu kwenye wagonjwa kama haya ndugu zangu, tumia utumiavyo lakini kuenda hospital na kuanza dozi za kitaalamu ni kitu ambacho hakikwepeki,, Yani utatumia uwezavyo mwisho wa siku utakimbilia hospitalini maji yakishafika shingoni..
Ugonjwa wa kisukari Una weaken baadhi ya organs kutokufanya kazi Kwa ufasaha na mojawapo ni Figo sasa ukishaanza kuichanganyia dawa za kienyeji zisizo na dozi maalumu mara kikombe cha chai mara bakuli ndio kabisa unaua Figo lako kabla ya wakati
Hapa panahitaji elimu zaidi ya maelezo maana yule Daktari wetu wa Taifa 'Dokta Janabi', hili hajawahi kulisema kwamba Kisukari kinakula Figo, emu TOA ufafanuziUgonjwa wa kisukari Una weaken baadhi ya organs kutokufanya kazi Kwa ufasaha na mojawapo ni Figo sasa ukishaanza kuichanganyia dawa za kienyeji zisizo na dozi maalumu mara kikombe cha chai mara bakuli ndio kabisa unaua Figo lako kabla ya wakati
Mwanaume uwe na afya njema tuTatizo ni mtihani mzito kwa Mwanaume Bora Mwanamke Ila Mwanaume ukiugua Sukari ni bonge moja la mtihani
Kikikupiga Kisukari ni mtihani,Mwanaume uwe na afya njema tu
Yaah hata shughuli ya usiku inakushinda sasaKikikupiga Kisukari ni mtihani,
Ndio ubaya wa Kisukari, Miguu ikianza kulika sasaYaah hata shughuli ya usiku inakushinda sasa
Tusimtishe mleta uziNdio ubaya wa Kisukari, Miguu ikianza kulika sasa
Sawa sawa mkuu, azingatie Dawa tu ataponaTusimtishe mleta uzi
Muaminifu kivipi Mkuu, kwa faida ya wengine tafadhali kama ni mazoezi, vyakula vya aina gani...n.kUsimtishe mkuu, kisukari ukiwa mwaminifu kwa afya yako unadunda tu
Kufuata masharti ya daktari, kuepuka vyakule hatarishi kwa kisukariMuaminifu kivipi Mkuu, kwa faida ya wengine tafadhali kama ni mazoezi, vyakula vya aina gani...n.k
Mkuu hizi dawa za asili zinapatikana wapi?Hahaa watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Mashine za kupimia sukari sukari - GLUCOMETERHello Wana Great Thinker, naombeni mwenye link ya group la wenye Kisukari aniunge please
, Anitumie link au number , shukrani sana wapendwa ,