Group la Kisukari

Group la Kisukari

Dawa za asili si kitu kwenye wagonjwa kama haya ndugu zangu, tumia utumiavyo lakini kuenda hospital na kuanza dozi za kitaalamu ni kitu ambacho hakikwepeki,, Yani utatumia uwezavyo mwisho wa siku utakimbilia hospitalini maji yakishafika shingoni..

Ugonjwa wa kisukari Una weaken baadhi ya organs kutokufanya kazi Kwa ufasaha na mojawapo ni Figo sasa ukishaanza kuichanganyia dawa za kienyeji zisizo na dozi maalumu mara kikombe cha chai mara bakuli ndio kabisa unaua Figo lako kabla ya wakati
Ndio unavyo karirishwa na madaktari au sio?
Hizo dawa zote viwandani zinaongezewa tu chemical compound hakuna cha ziada
 
Ugonjwa wa kisukari Una weaken baadhi ya organs kutokufanya kazi Kwa ufasaha na mojawapo ni Figo sasa ukishaanza kuichanganyia dawa za kienyeji zisizo na dozi maalumu mara kikombe cha chai mara bakuli ndio kabisa unaua Figo lako kabla ya wakati
Hapa panahitaji elimu zaidi ya maelezo maana yule Daktari wetu wa Taifa 'Dokta Janabi', hili hajawahi kulisema kwamba Kisukari kinakula Figo, emu TOA ufafanuzi
 
Hello Wana Great Thinker, naombeni mwenye link ya group la wenye Kisukari aniunge please
, Anitumie link au number , shukrani sana wapendwa ,
Mashine za kupimia sukari sukari - GLUCOMETER

Package ina
-1 Glucometer (mashine ya kupima sukari)
-25 testing strips
Bei : 35,000/=

Testing Strips (50)
Bei: 20,000/=


Tupo TANZANITE PHARMACY - Tabata Aroma

Mawasiliano
0653776099
0789344956
0767810030
0620249911

Free delivery pia ipo ndani ya Dar es Salaam
 

Attachments

  • GridArt_20241108_202828285.jpg
    GridArt_20241108_202828285.jpg
    263.5 KB · Views: 3
  • GridArt_20241106_132658156.jpg
    GridArt_20241106_132658156.jpg
    383.5 KB · Views: 4
  • GridArt_20241106_132802409.jpg
    GridArt_20241106_132802409.jpg
    2 MB · Views: 4
  • GridArt_20241018_003542180.jpg
    GridArt_20241018_003542180.jpg
    204.5 KB · Views: 4
  • GridArt_20241018_003009070.jpg
    GridArt_20241018_003009070.jpg
    183 KB · Views: 4
  • GridArt_20241018_003328309.jpg
    GridArt_20241018_003328309.jpg
    322.7 KB · Views: 4
  • GridArt_20241018_002936104.jpg
    GridArt_20241018_002936104.jpg
    169.2 KB · Views: 4
  • GridArt_20241018_002852936.jpg
    GridArt_20241018_002852936.jpg
    185.3 KB · Views: 4
  • GridArt_20241018_003220607.jpg
    GridArt_20241018_003220607.jpg
    295.3 KB · Views: 3
  • GridArt_20241018_003134335.jpg
    GridArt_20241018_003134335.jpg
    208.7 KB · Views: 3
  • GridArt_20241018_002751063.jpg
    GridArt_20241018_002751063.jpg
    270.7 KB · Views: 3
  • GridArt_20241018_003424593.jpg
    GridArt_20241018_003424593.jpg
    288.2 KB · Views: 4
Back
Top Bottom