Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Ndio unavyo karirishwa na madaktari au sio?Dawa za asili si kitu kwenye wagonjwa kama haya ndugu zangu, tumia utumiavyo lakini kuenda hospital na kuanza dozi za kitaalamu ni kitu ambacho hakikwepeki,, Yani utatumia uwezavyo mwisho wa siku utakimbilia hospitalini maji yakishafika shingoni..
Ugonjwa wa kisukari Una weaken baadhi ya organs kutokufanya kazi Kwa ufasaha na mojawapo ni Figo sasa ukishaanza kuichanganyia dawa za kienyeji zisizo na dozi maalumu mara kikombe cha chai mara bakuli ndio kabisa unaua Figo lako kabla ya wakati
Hizo dawa zote viwandani zinaongezewa tu chemical compound hakuna cha ziada