Group la WhatsApp latumika kuchangisha mifuko 300 ya saruji ya ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Nachingwea Boys

Group la WhatsApp latumika kuchangisha mifuko 300 ya saruji ya ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Nachingwea Boys

Mkuu kwa sehemu kama nachingwea kuongeza majengo ni sawa na kuongeza ukubwa wa ndoo wakati unataka lijae maji.
Hapana siyo sahihi, kumbuka Nachingwea ina shule moja tu ya High School.
 
Hapana siyo sahihi, kumbuka Nachingwea ina shule moja tu ya High School.
Unadhani imefikia hatua ya wanafunzi kuwa wengi wanaoenda advance kwa hapo nachingwea kiasi kwamba ile shule iliyopo nachingwea boys iwe haitoshi ?
 
Back
Top Bottom