Peter Madukwa JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 3,139 Reaction score 2,488 Oct 2, 2021 Thread starter #41 Chiumbati said: Unajiunga vipi na group hili. Click to expand... Tuwasiliane inbox mkuu. Karibu sana
Peter Madukwa JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 3,139 Reaction score 2,488 Oct 2, 2021 Thread starter #42 safuher said: Mkuu kwa sehemu kama nachingwea kuongeza majengo ni sawa na kuongeza ukubwa wa ndoo wakati unataka lijae maji. Click to expand... Hapana siyo sahihi, kumbuka Nachingwea ina shule moja tu ya High School.
safuher said: Mkuu kwa sehemu kama nachingwea kuongeza majengo ni sawa na kuongeza ukubwa wa ndoo wakati unataka lijae maji. Click to expand... Hapana siyo sahihi, kumbuka Nachingwea ina shule moja tu ya High School.
Peter Madukwa JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 3,139 Reaction score 2,488 Oct 2, 2021 Thread starter #43 emavalery said: Hongera kwa waliojitoa kwa kidg, kujali elimu ya wadogo zetu ama watoto wetu..Mungu awabariki Click to expand... Ahsante sana kiongozi. Ubarikiwe sana
emavalery said: Hongera kwa waliojitoa kwa kidg, kujali elimu ya wadogo zetu ama watoto wetu..Mungu awabariki Click to expand... Ahsante sana kiongozi. Ubarikiwe sana
safuher JF-Expert Member Joined Feb 11, 2019 Posts 11,837 Reaction score 17,412 Oct 2, 2021 #44 Peter Madukwa said: Hapana siyo sahihi, kumbuka Nachingwea ina shule moja tu ya High School. Click to expand... Unadhani imefikia hatua ya wanafunzi kuwa wengi wanaoenda advance kwa hapo nachingwea kiasi kwamba ile shule iliyopo nachingwea boys iwe haitoshi ?
Peter Madukwa said: Hapana siyo sahihi, kumbuka Nachingwea ina shule moja tu ya High School. Click to expand... Unadhani imefikia hatua ya wanafunzi kuwa wengi wanaoenda advance kwa hapo nachingwea kiasi kwamba ile shule iliyopo nachingwea boys iwe haitoshi ?