i wish to have a house with 2 siting rooms. even if if you have one it is your house, you have a say.Na wanaoelewa hili, na kama wana nafasi ya kutosha ndani ya nyumba wanakuwa na TV room, na Sitting room, na vinginevo,...different rooms for different purposes!
kumbe wanapoteza muda na real friends.
i wish to have a house with 2 siting rooms. even if if you have one it is your house, you have a say.
you said it all. ni bora mpigiane simu muongee kuliko kuulizana umekula nini lunch? can i have a picture?.Siku hizi hakuna The real Communication, apart from the work place ambapo kitu kama email is important cause you can trace it in case you overlooked something or forgot an assignment, lakini huku nje kwa kila kitu ku chat?!, it's such a wastage of time yaani!, ni bora tuongee yaishe kuliko kuanza ku bipiana sijui nini!... nah!
Group nzuri ni zile za watu mnaofahamiana in real life(family, classmates,friends) au za lengo flani kama Sports, technology n.k..ila mkishakaa tu watu msiofahamiana aarrgghh huyu ataweka link za blog yake huyu atafanya hivi basi vurugu tupu.
sijakaa sawa nikajikuta nimeungwa grup la clasmets wa O-level.....nikakausha
siku mbili baadae naombwa namba na clasmet wa primary eti nimpe no nayotumia watsap kabla sijamjibu nikaungwa....la pili ilo
juzi nimeungwa la wana chuo,mtaani ninalo wa wazazi wa jumuiya....bado nna grup la wanywaji wenzangu..bado nna grup la ukoo !!
nimejikuta nna magrup 9 mpaka sasa message hadi 1500......ukijitoa unaonekana unaringa...aisee hii kitu ni hatari!!
bado jf,fb,insta and tweeter...kaz mtafanya kweli bandugu???hii ni thidaaa
you said it all. ni bora mpigiane simu muongee kuliko kuulizana umekula nini lunch? can i have a picture?.
Bora lawama kuliko fedheha mimi nilijitoa magroup yote coz ni usumbufu mfano mtu anakuuliza unamkumbuka yule mwalim ya physics what for kama namkumbuka oooh mara yule lectures wa network anazingua ya nn wakati nmeshagratuate hapo so mm nilijitoa kabisa nmebak JF tu
the good thing is we know what we want and what is best for our families. we will react accordingly.Teh! Teh!, halafu kama kuna faragha and you can talk why not talk?!, Inaleta ukaribu zaidi
the good thing is we know what we want and what is best for our families. we will react accordingly.
haujalala!? what are you doing these hours? we? we are drinking alcohol.Eti ukijitoa unaonekana unaringa. Kwani kuringa ni vibaya? Sasa kama mtu una group la praimare, olevel, high school, undergraduate, masters (bahati nzuri phd hamna mwenye muda na hayo makitu ). Halafu kuna ex workmates na umeshafanya kazi sehemu tano. You need a secretary. Na solar charger ya kujitwisha begani
Formula ya maisha ni kufuata mtima wako. Kama hutaki jitoe fasta, kaa kando. Huwezi kufurahisha kila mtu!
na we uko macho!? ule uzi wetu wa wakeshaji uko wapi?.Aise!!
Kunajingine sasa la wanawake mijimama yenye nazo yanatafuta vijana tu unaambiwa nikundi la kutoa papuchi tu!!
sijakaa sawa nikajikuta nimeungwa grup la clasmets wa O-level.....nikakausha
siku mbili baadae naombwa namba na clasmet wa primary eti nimpe no nayotumia watsap kabla sijamjibu nikaungwa....la pili ilo
juzi nimeungwa la wana chuo,mtaani ninalo wa wazazi wa jumuiya....bado nna grup la wanywaji wenzangu..bado nna grup la ukoo !!
nimejikuta nna magrup 9 mpaka sasa message hadi 1500......ukijitoa unaonekana unaringa...aisee hii kitu ni hatari!!
bado jf,fb,insta and tweeter...kaz mtafanya kweli bandugu???hii ni thidaaa