Group za Whatsaap Ni shidaa

Group za Whatsaap Ni shidaa

Na wanaoelewa hili, na kama wana nafasi ya kutosha ndani ya nyumba wanakuwa na TV room, na Sitting room, na vinginevo,...different rooms for different purposes!
i wish to have a house with 2 siting rooms. even if if you have one it is your house, you have a say.
 
kumbe wanapoteza muda na real friends.

Siku hizi hakuna The real Communication, apart from the work place ambapo kitu kama email is important cause you can trace it in case you overlooked something or forgot an assignment, lakini huku nje kwa kila kitu ku chat?!, it's such a wastage of time yaani!, ni bora tuongee yaishe kuliko kuanza ku bipiana sijui nini!... nah!
 
you said it all. ni bora mpigiane simu muongee kuliko kuulizana umekula nini lunch? can i have a picture?.
 
Group nzuri ni zile za watu mnaofahamiana in real life(family, classmates,friends) au za lengo flani kama Sports, technology n.k..ila mkishakaa tu watu msiofahamiana aarrgghh huyu ataweka link za blog yake huyu atafanya hivi basi vurugu tupu.

I know right?!, lakini kibongo bongo washapata nafasi nyingine ya kuendeleza stori, halafu stori zenyewe saasa!
 
sijakaa sawa nikajikuta nimeungwa grup la clasmets wa O-level.....nikakausha

siku mbili baadae naombwa namba na clasmet wa primary eti nimpe no nayotumia watsap kabla sijamjibu nikaungwa....la pili ilo

juzi nimeungwa la wana chuo,mtaani ninalo wa wazazi wa jumuiya....bado nna grup la wanywaji wenzangu..bado nna grup la ukoo !!

nimejikuta nna magrup 9 mpaka sasa message hadi 1500......ukijitoa unaonekana unaringa...aisee hii kitu ni hatari!!

bado jf,fb,insta and tweeter...kaz mtafanya kweli bandugu???hii ni thidaaa

Bora lawama kuliko fedheha mimi nilijitoa magroup yote coz ni usumbufu mfano mtu anakuuliza unamkumbuka yule mwalim ya physics what for kama namkumbuka oooh mara yule lectures wa network anazingua ya nn wakati nmeshagratuate hapo so mm nilijitoa kabisa nmebak JF tu
 
you said it all. ni bora mpigiane simu muongee kuliko kuulizana umekula nini lunch? can i have a picture?.

Teh! Teh!, halafu kama kuna faragha and you can talk why not talk?!, Inaleta ukaribu zaidi
 
Bora lawama kuliko fedheha mimi nilijitoa magroup yote coz ni usumbufu mfano mtu anakuuliza unamkumbuka yule mwalim ya physics what for kama namkumbuka oooh mara yule lectures wa network anazingua ya nn wakati nmeshagratuate hapo so mm nilijitoa kabisa nmebak JF tu

I have no idea how people keep up with everything!, JF kwenyewe sometimes I feel like am so yesterday nakuta mdahalo uko page ya 20 mi ndo kwaaanza nauona!
 
Teh! Teh!, halafu kama kuna faragha and you can talk why not talk?!, Inaleta ukaribu zaidi
the good thing is we know what we want and what is best for our families. we will react accordingly.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mimi nipo katika group 25 na private inbox nachat na watu 50 kwa siku wala sitegemei kujitoa.

Wasap muda wa kazi nazima internet network kanzia saa 12 asb mpaka saa 2 usiku.

Viber.
Telegram.
Facebook.
Twitter.
Linkedin.
Istagram.
Mwote nimo ila mitandao yote hiyo nitaitalii kwa masaa 2 tu kwa siku.
Kuanzia saa 2 usiku mpaka 4 usiku.
Kwa sasa nategemea kujiunga na youtube
 
Eti ukijitoa unaonekana unaringa. Kwani kuringa ni vibaya? Sasa kama mtu una group la praimare, olevel, high school, undergraduate, masters (bahati nzuri phd hamna mwenye muda na hayo makitu ). Halafu kuna ex workmates na umeshafanya kazi sehemu tano. You need a secretary. Na solar charger ya kujitwisha begani

Formula ya maisha ni kufuata mtima wako. Kama hutaki jitoe fasta, kaa kando. Huwezi kufurahisha kila mtu!
 
haujalala!? what are you doing these hours? we? we are drinking alcohol.
 
mi nna group tatu ila ni uzuri zote zina malengo flani mazuri kwenye shida na raha ila sihitaji lingine
 
sijakaa sawa nikajikuta nimeungwa grup la clasmets wa O-level.....nikakausha

siku mbili baadae naombwa namba na clasmet wa primary eti nimpe no nayotumia watsap kabla sijamjibu nikaungwa....la pili ilo

juzi nimeungwa la wana chuo,mtaani ninalo wa wazazi wa jumuiya....bado nna grup la wanywaji wenzangu..bado nna grup la ukoo !!

nimejikuta nna magrup 9 mpaka sasa message hadi 1500......ukijitoa unaonekana unaringa...aisee hii kitu ni hatari!!

bado jf,fb,insta and tweeter...kaz mtafanya kweli bandugu???hii ni thidaaa

Huu upuuzi ndio nilishaukataa maishani mwangu... Wacha nionekana mshamba, naringa and so on!

Delete yes deleted whatsapp group!
 
Back
Top Bottom