na we uko macho!? ule uzi wetu wa wakeshaji uko wapi?.
Hebu nipm namba zao niwaunge mkuuKunajingine sasa la wanawake mijimama yenye nazo yanatafuta vijana tu unaambiwa nikundi la kutoa papuchi tu!!
Nisalimie Dizzo one....maana lile group ni nouma msg zinafika mpaka 4000 kwa siku...Niliamka kujojoa maramoja lol
Eti ukijitoa unaonekana unaringa. Kwani kuringa ni vibaya? Sasa kama mtu una group la praimare, olevel, high school, undergraduate, masters (bahati nzuri phd hamna mwenye muda na hayo makitu ). Halafu kuna ex workmates na umeshafanya kazi sehemu tano. You need a secretary. Na solar charger ya kujitwisha begani
Formula ya maisha ni kufuata mtima wako. Kama hutaki jitoe fasta, kaa kando. Huwezi kufurahisha kila mtu!
King'asti ...umenichekesha wewe!, eti solar charger ya kujitwisha...lol!
haujalala!? what are you doing these hours? we? we are drinking alcohol.
Yap! Tupo duniani ili tulete shida....na Tupo duniani ili tutatue shida....MTAZAMO TUUU!
Nahitaji group la watoa papuchi...MKUU KIZA...nicheck PM...plz.
Niliamka kujojoa maramoja lol