Group za Whatsaap Ni shidaa

Group za Whatsaap Ni shidaa

hivi jinsi ya kujitoa kwenye Group inakuaje? Wenye kufahamu tafadhali
 
Eti ukijitoa unaonekana unaringa. Kwani kuringa ni vibaya? Sasa kama mtu una group la praimare, olevel, high school, undergraduate, masters (bahati nzuri phd hamna mwenye muda na hayo makitu ). Halafu kuna ex workmates na umeshafanya kazi sehemu tano. You need a secretary. Na solar charger ya kujitwisha begani

Formula ya maisha ni kufuata mtima wako. Kama hutaki jitoe fasta, kaa kando. Huwezi kufurahisha kila mtu!

King'asti ...umenichekesha wewe!, eti solar charger ya kujitwisha...lol!
 
Last edited by a moderator:
Hehehe ama jenerator mobile. Si kuna yale yana vitairi?

Reason im using a nokia lumia phone ni kuweka charge kwa muda mrefu. Hapo nina only one group. Yaani mtu akiniingiza in another group najitoa kabla hata sijauliza why!
King'asti ...umenichekesha wewe!, eti solar charger ya kujitwisha...lol!
 
Last edited by a moderator:
Ila yote kwa yote groups nyingi za watsup za watu wasiojuana zimesababisha michepuko na maambukizi mapya kwa kiasi kikubwa ndani ya jamii yetu
 
Good for you uliye delete programme kusolve problem.
 
Yap! Tupo duniani ili tulete shida....na Tupo duniani ili tutatue shida....MTAZAMO TUUU!

Nahitaji group la watoa papuchi...MKUU KIZA...nicheck PM...plz.
 
Yap! Tupo duniani ili tulete shida....na Tupo duniani ili tutatue shida....MTAZAMO TUUU!

Nahitaji group la watoa papuchi...MKUU KIZA...nicheck PM...plz.

Akikuunganisha nishtue na mimi mkuu… siriaz
 
nataka la watoaa papuchi tuuu hahahahahhaa
 
2nagombana na gilrfriend wangu kila kukicha. anashnda whtsup hata haniskilizi.
 
Ukitaka Group la mambo yetu yaleee, niPm no yako ninalo moja, ila mambo ya kujitoa hatutaki, tunataka watu serious 🙂
 
Back
Top Bottom