Kunajingine sasa la wanawake mijimama yenye nazo yanatafuta vijana tu unaambiwa nikundi la kutoa papuchi tu!!
Mimi nipo katika group 25 na private inbox nachat na watu 50 kwa siku wala sitegemei kujitoa.
Wasap muda wa kazi nazima internet network kanzia saa 12 asb mpaka saa 2 usiku.
Viber.
Telegram.
Facebook.
Twitter.
Linkedin.
Istagram.
Mwote nimo ila mitandao yote hiyo nitaitalii kwa masaa 2 tu kwa siku.
Kuanzia saa 2 usiku mpaka 4 usiku.
Kwa sasa nategemea kujiunga na youtube
I know right?!, lakini kibongo bongo washapata nafasi nyingine ya kuendeleza stori, halafu stori zenyewe saasa!
eti nilikumiss kidogo upo......
nalitaka ilo
Bora lawama kuliko fedheha mimi nilijitoa magroup yote coz ni usumbufu mfano mtu anakuuliza unamkumbuka yule mwalim ya physics what for kama namkumbuka oooh mara yule lectures wa network anazingua ya nn wakati nmeshagratuate hapo so mm nilijitoa kabisa nmebak JF tu
Hahaha jaman mi nataka hili group la watoa papuchi KAKA KIZA tuonane PM
Jaman mi mgen hapa ku Pm ndo nn?
...halafu siku kila group utasikia ooh mnaonaje tukiwa km chama maana wote wamoja sasa tuwe na umoja.....nikauliza km nina magroup 9..kila moja likitaka elf 50..kweli mshahara wa muhindi utatosha kweli kuchangia hiyo kufa na kuzika..km sio kuuana mapema kwa presha ya madeni ya group..Eti ukijitoa unaonekana unaringa. Kwani kuringa ni vibaya? Sasa kama mtu una group la praimare, olevel, high school, undergraduate, masters (bahati nzuri phd hamna mwenye muda na hayo makitu ). Halafu kuna ex workmates na umeshafanya kazi sehemu tano. You need a secretary. Na solar charger ya kujitwisha begani
Formula ya maisha ni kufuata mtima wako. Kama hutaki jitoe fasta, kaa kando. Huwezi kufurahisha kila mtu!
umekula nini lunch? can i have a picture?.
Jaman mi mgen hapa ku Pm ndo nn?