Group za Whatsaap Ni shidaa

Group za Whatsaap Ni shidaa

Mi niliungwa group la ukoo basi mpaka watoto wa darasa la 5 (ana simu kanunuliwa na baba yake) ana comment/post daah! nilichokaje?
 
Nilitumiwa mwaliko wa tuliogradute pa1. Nilikataa hapohapo. Sitokaa kuingia hizo groups.

Btw... wazungu wameanzisha group la viongozi wa nchi walizotawala. Mkulu kaamua kununua simu ya tochi!!
 
Mimi nipo katika group 25 na private inbox nachat na watu 50 kwa siku wala sitegemei kujitoa.

Wasap muda wa kazi nazima internet network kanzia saa 12 asb mpaka saa 2 usiku.

Viber.
Telegram.
Facebook.
Twitter.
Linkedin.
Istagram.
Mwote nimo ila mitandao yote hiyo nitaitalii kwa masaa 2 tu kwa siku.
Kuanzia saa 2 usiku mpaka 4 usiku.
Kwa sasa nategemea kujiunga na youtube

Mitandao yote hiyo ya nini na uko active?
 
Bora lawama kuliko fedheha mimi nilijitoa magroup yote coz ni usumbufu mfano mtu anakuuliza unamkumbuka yule mwalim ya physics what for kama namkumbuka oooh mara yule lectures wa network anazingua ya nn wakati nmeshagratuate hapo so mm nilijitoa kabisa nmebak JF tu

Okay tumeshajua ulisoma physics na chuo ukasomea mambo ya networking.
 
...binafsi yamenisaidia kuwagegeda baadhi ya memba wa humu JF ...kuona papuchi zao..yaani raha
 
Eti ukijitoa unaonekana unaringa. Kwani kuringa ni vibaya? Sasa kama mtu una group la praimare, olevel, high school, undergraduate, masters (bahati nzuri phd hamna mwenye muda na hayo makitu ). Halafu kuna ex workmates na umeshafanya kazi sehemu tano. You need a secretary. Na solar charger ya kujitwisha begani

Formula ya maisha ni kufuata mtima wako. Kama hutaki jitoe fasta, kaa kando. Huwezi kufurahisha kila mtu!
...halafu siku kila group utasikia ooh mnaonaje tukiwa km chama maana wote wamoja sasa tuwe na umoja.....nikauliza km nina magroup 9..kila moja likitaka elf 50..kweli mshahara wa muhindi utatosha kweli kuchangia hiyo kufa na kuzika..km sio kuuana mapema kwa presha ya madeni ya group..
 
Back
Top Bottom