displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,085
Join groups but don't be active member if u don't like them, groups zina faida nyingi na hasara pia kutegemea na aina ya group
nina group langu nikuaddd
Niadd mie
Group lako linahusiana na nini
tupia namba inbox
Huwa nasikia tu kuhusu hili, hivi ni kweli? Ni defaults au choices?
Groups mimi huwa zinaniacha hoi pale unapokuwa bize hata kwa nusu saa tu ukirudi unakuta msg 500 au zaidi. Jichanganye usiingie kwa nusu siku unaweza kukuta hata msg 3000+.
Ushauri wangu kwako kama umejiunga usiweke pop up notification utaleta ugomvi nyumbani, ofcn, nyumba ya ibada au hata mkutanoni.
Kunajingine sasa la wanawake mijimama yenye nazo yanatafuta vijana tu unaambiwa nikundi la kutoa papuchi tu!!