Group za Whatsaap Ni shidaa

Group za Whatsaap Ni shidaa

Hizo group ni stress free....
Pia pana zenye fursa si laza uwe active...ila alert za msg kipa punde haha ndio ishu kama hupendi.
 
kwenye magroup ni ujinga ujinga tu mi niliunganishwa group la ukoo, yaani hata mtu aki.enda uani anatoa taarifa, Kero haswaaa
 
Groups mimi huwa zinaniacha hoi pale unapokuwa bize hata kwa nusu saa tu ukirudi unakuta msg 500 au zaidi. Jichanganye usiingie kwa nusu siku unaweza kukuta hata msg 3000+.

Ushauri wangu kwako kama umejiunga usiweke pop up notification utaleta ugomvi nyumbani, ofcn, nyumba ya ibada au hata mkutanoni.
 
tangu nianze kutumia whatsapp nipo kwenye magroup matatu tu tena wenye members wasiozidi 20 kwa ujumla.
Mtu maamuzi ni yako ukiona group limejaa mambo yasiyo na maana unajiondoa tu hata kama aliyekuadd ni rafiki yako we mwambie awe anakuchek kwenye namba yako. asipopenda basi akae mbali.
 
miss yah
Groups mimi huwa zinaniacha hoi pale unapokuwa bize hata kwa nusu saa tu ukirudi unakuta msg 500 au zaidi. Jichanganye usiingie kwa nusu siku unaweza kukuta hata msg 3000+.

Ushauri wangu kwako kama umejiunga usiweke pop up notification utaleta ugomvi nyumbani, ofcn, nyumba ya ibada au hata mkutanoni.
 
Duh mengne yako poa had unapata taarfa mbali mbali bla ya kuangalia tv au magarzet au kuckiliza vidio lkn mengne yapo kitoto tu so lkikushinda jitoe
 
0714485705 papuchi nyingine hii ya bure kabisa iko mwananyamala ina hips balaa
 
jamani kwa group unawezaje kubadili jina lako??
 
Back
Top Bottom