Group za Whatsaap Ni shidaa

Group za Whatsaap Ni shidaa

Hivi WhatsApp kuna njia ya ku transfer full Admin rights to another member? Maana nina miezi nimekimbia kwenye ma group sasa kuna moja nililitengeneza mwenyewe :lol::lol::lol: Nawawazia kondoo zangu wanavoendelea lolol shepherd kakacha, ningewezea wapi na shule inawaka moto niache kuzima nimekalia ku forward msg za whatsApp kha!
 
Mengine ni kutumia picha za uchafu tu. Haya ya siasa ndo usiseme...u will waste alot of time. Delete yote acha la jumuiya basi
 
Bro mimi huwa wakiniunganisha nachomoka faster wakiuliza kwa nini nimejitoa nawaambia tu ki Ulaya sorry😎
 
Magroup mengi ni vichaka vya umbeya, uvivu wa kufanya kazi na ufuska tu.
 
Kuna watu wanajua kujiupdate sana. They're too busy for chatting
 
It's rude to chat for hours while you're in the company of other people, soo un cival!

Hiyo kitu inaboa Sana mtu akishaanza hiyo tabia namwacha hata siagi,wakati fb imetoka my ex alikuwa hivo mnaongea ye anachat namshauri kila siku aache hasikii,nikaanza kujiuliza kuna kitu gani mhimu fb kuliko Mimi,nikamdump kwa ajili hiyo.
Ukiwa na watu wa hivo utaboreka sana
 
  • Thanks
Reactions: kui
Madhara ya makundi haya,kwanza unatumia muda mwingi wa kuungana nao ktk upuuzi waliouanzisha kwa muda huo,simu inakuwa busy sn mpaka power bank inakufa!!,yapo kitoto zaidi.Mei ni marufuku kabisa kuniunga,tena muda huohuo na -exit ni ujinga tu.
 
Madhara ya makundi haya,kwanza unatumia muda mwingi wa kuungana nao ktk upuuzi waliouanzisha kwa muda huo,simu inakuwa busy sn mpaka power bank inakufa!!,yapo kitoto zaidi.Mei ni marufuku kabisa kuniunga,tena muda huohuo na -exit ni ujinga tu.

Unakuta mmoja anaomba attention akipewa anaanza kusimulia bata alizokula jana na mtu wake viwanja tofauti tofauti.

Gallery inajaa picha za kipuuzi za bata za mtu, ukisema ulog off ukirudi unakuta unread msg 1000, ilimradi inaboa tu. Mara kumi basi iwe kinaongelewa jambo la maana kama siasa, biashara, ujasiriamali nk.
 
Magroup haya nuksi kidogo nifowad picha tumepiga na bebii faragha. ingekuwa soo na vile naonekana nina busara humoooo.
 
Back
Top Bottom