Planet FSD
JF-Expert Member
- Oct 24, 2019
- 455
- 948
George RR Martin huenda akawa muandishi wa muda wote duniani.
Msipaniki… HUENDAAAAA….!
Series ile pendwa ya muda wote, Game of Thrones, ikitokea kwenye vitabu kadhaa vya G RR Martin. Series ambayo baada ya wabongo kuishtukia utamu wake, ilikuwa ikioneshwa kwenye club za Masaki huko per season per episode ilijaa ufundi mwingi sana hadi msimu wa mwisho.
Lakini haikuwa kazi rahisi, GRR Martin ambaye sasa anatamba HBO kwa prequel ya ‘The House of Dragon’ ambayo ni miaka 200 kabla ya matukio ya Game of Thrones, alikataa kabisa series ya vitabu vyake vya ‘Song of Ice and Fire’ kutengenezewa tv show kabisa.
Lakini, show-runners wawili, David Benioff na D B Weiss walimfata GRR Martin na kumuomba waweze kuyaleta matukio haya live kwenye TV. GRR Martin alikataa, lakini baada ya kumuomba sana, aliwapa kitendawili alichokificha wakitegue.
Ni kina nani walikuwa wazazi wa Jon Snow?( sasa kwa wapuuzi wachache waloshindwa hata kujiuliza maswali ya iwapo katibu kajitibua au katibuliwa hili swali lingekuwa ni shida! Ingeishia kuulizwa yanakuhusu au wewe tafuta pesa😂😂?)
Still Game of Thrones inabakiwa kuwa greatest tv show of all time. Mengine ni bahati mbaya.
Tujifunze kuchakata na kujiuliza.