Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
🤣🤣🤣🤣🤣sasa m60 si ni gol 3 za Mama, GSm akitoa 60 to each.. atapungukiwa na nini?Mimi nafikri iyo Dola 30,000/= ni Kwa timu nzima.
Nitakua mtu wa mwisho kuamini GSM anatoa Dola 30,000/= Kwa Kila mchezaji.
Gsm analeta utani maana mtamfanya gumegume Cute Wife aanze kucheza mpira.
Cute wife anza kupiga hata danadana
Wewe uliyekosa akili za kufikiria bado upo tu humu hujakata tamaa tu? Uwezi kupanga plan ya mbele wakati una jambo kubwa sana siku za usoni, ambalo likifanikiwa itakuwa ni heshima kubwa sana kwa ukanda wetu wa CECAFA. Halafu kazi yake sio kuwaza atamsajili nani bali ni kutoa kitita cha pesa baada ya kupata ripoti ya wahusika (benchi la ufundi ikishirikiana na watu wa scouting) ila kwasasa mipango yote inaelekezwa kwenye mechi ya fainali kwanza. Nyie Simba ndio muwaze usajili kwasababu mmeshamaliza msimu ila Yanga haijamaliza bado msimu, ana mechi tatu za kumfanya abebe makombe mawiliBadala ya kuwaza atamsajili nani yeye anatafuta sifa. Uzee unawanyemelea walioifikia timu hapa kwa miaka hii miwili, ndo maana Mayele nafasi 20 anatupia moya, kina Bangala ndiyo washapotea. Kuna deni la yule kocha aliyewaita manyani, kuna deni la CAF kwa kuwapulizia sumu na kuwaibia pesa wanaija, kuna deni la mchezaji nyota wa Newcastle.
Famasihala nini
Umeambiwa pesa ya zawadi asilimia 47 hujaelewa nn hapoMimi nafikri iyo Dola 30,000/= ni Kwa timu nzima.
Nitakua mtu wa mwisho kuamini GSM anatoa Dola 30,000/= Kwa Kila mchezaji.
Eti heshima ukanda wa CECAFA, hahah Yanga bwana mnafurahishaga sana. Hivi mnadhani kabisa dunia imesimama kwa nyie kuingia fainali ya shirikisho?Wewe uliyekosa akili za kufikiria bado upo tu humu hujakata tamaa tu? Uwezi kupanga plan ya mbele wakati una jambo kubwa sana siku za usoni, ambalo likifanikiwa itakuwa ni heshima kubwa sana kwa ukanda wetu wa CECAFA. Halafu kazi yake sio kuwaza atamsajili nani bali ni kutoa kitita cha pesa baada ya kupata ripoti ya wahusika (benchi la ufundi ikishirikiana na watu wa scouting) ila kwasasa mipango yote inaelekezwa kwenye mechi ya fainali kwanza. Nyie Simba ndio muwaze usajili kwasababu mmeshamaliza msimu ila Yanga haijamaliza bado msimu, ana mechi tatu za kumfanya abebe makombe mawili
Unasumbuliwa na wivu pole sana.Eti heshima ukanda wa CECAFA, hahah Yanga bwana mnafurahishaga sana. Hivi mnadhani kabisa dunia imesimama kwa nyie kuingia fainali ya shirikisho?
Halafu kwenye usajili, mfanyakazi mmoja wa GSM alihojiwa akisema yeye mwenyewee anasomaga na kuchunguza wachezaji na anayemtaka yeye mwenyewee anaendaga front kuwasajili. Au kaanza mapema kampeni za uchaguzi?
Tajiri wenu ni WA ngapi kwa Africa?Hamna tajiri pale,qe ushaona tajiri kanji??
Mkuu hata uzalendo wa kinafiki unaitaji, utopolo wapo kwenye hatua ya mwisho kabisa kuliletea heshima taifa. Tuungane nao hata ki shingo upandeTaifa Stars kwani tuliahidiwa bei gani tukimfunga Uganda?
Steve Nyerere leo hii anahitaji ahadi ya bei gani kama motisha ili aweze kushinda pambano lake dhidi ya Tyson?
Taifa limekuwa na heshima miaka yote kabla hata hao Uto hawajaanza harakati zao za kucheza mpira peku na kulitia aibu TaifaMkuu hata uzalendo wa kinafiki unaitaji, utopolo wapo kwenye hatua ya mwisho kabisa kuliletea heshima taifa. Tuungane nao hata ki shingo upande
Maswali haya yanaashiria Yanga kashapoteza fainali, maana hapa nchini wachezaji wakishaahidiwa mtonyo tayari wanapoteana. Yanga washafeli tayari.Taifa Stars kwani tuliahidiwa bei gani tukimfunga Uganda?
Steve Nyerere leo hii anahitaji ahadi ya bei gani kama motisha ili aweze kushinda pambano lake dhidi ya Tyson?
Hupendi pesa?Ndugu wa [mention]Countrywide [/mention] mfanye mumpeleke ndugu yenu atibiwe anaweweseka na cute wife kila nyuzi cute wife anasahau kutag hawara zake
Mkuu hautaki kombe lije nchini mwako? Au kisa litaletwa na utopolo ndio maana una nongwa?Taifa limekuwa na heshima miaka yote kabla hata hao Uto hawajaanza harakati zao za kucheza mpira peku na kulitia aibu Taifa
Kama linakuja acha lije ila tusihamasishane kuhusu kushangilia timuMkuu hautaki kombe lije nchini mwako? Au kisa litaletwa na utopolo ndio maana una nongwa?
Sawa tutaonaHuo ndo ukweli..kombe hampati
Kawaida timu zote hata ulaya zina bonus hasa wakichukua mataji makubwa,halafu sasa hivi si mda wa kufikiria usajili, usajili utafanyika baada ya kumaliza msimu na kocha kukabidhi ripoti ya msimu mzima na mapendekezo ya wachezaji awatakao, sisi msimu bado hatuja maliza.Badala ya kuwaza atamsajili nani yeye anatafuta sifa. Uzee unawanyemelea walioifikia timu hapa kwa miaka hii miwili, ndo maana Mayele nafasi 20 anatupia moya, kina Bangala ndiyo washapotea. Kuna deni la yule kocha aliyewaita manyani, kuna deni la CAF kwa kuwapulizia sumu na kuwaibia pesa wanaija, kuna deni la mchezaji nyota wa Newcastle.
Famasihala nini
Elimu elimu, sponsor ni mdhamini ambaye faida au Return yake anaipata kwa kutangaza bidhaa zakeTofauti ni ipi? Sponsor hategemee returns? Au we unafikiri ana donate tu.