GSM aahidi mil 60 kila mchezaji kama yanga ikitwaa ubingwa CAFCC

Mimi nafikri iyo Dola 30,000/= ni Kwa timu nzima.
Nitakua mtu wa mwisho kuamini GSM anatoa Dola 30,000/= Kwa Kila mchezaji.
🤣🤣🤣🤣🤣sasa m60 si ni gol 3 za Mama, GSm akitoa 60 to each.. atapungukiwa na nini?
 
Badala ya kuwaza atamsajili nani yeye anatafuta sifa. Uzee unawanyemelea walioifikia timu hapa kwa miaka hii miwili, ndo maana Mayele nafasi 20 anatupia moya, kina Bangala ndiyo washapotea. Kuna deni la yule kocha aliyewaita manyani, kuna deni la CAF kwa kuwapulizia sumu na kuwaibia pesa wanaija, kuna deni la mchezaji nyota wa Newcastle.

Famasihala nini
 
Gsm analeta utani maana mtamfanya gumegume Cute Wife aanze kucheza mpira.

Cute wife anza kupiga hata danadana

Ndugu wa [mention]Countrywide [/mention] mfanye mumpeleke ndugu yenu atibiwe anaweweseka na cute wife kila nyuzi cute wife anasahau kutag hawara zake
 
Badala ya kuwaza atamsajili nani yeye anatafuta sifa. Uzee unawanyemelea walioifikia timu hapa kwa miaka hii miwili, ndo maana Mayele nafasi 20 anatupia moya, kina Bangala ndiyo washapotea. Kuna deni la yule kocha aliyewaita manyani, kuna deni la CAF kwa kuwapulizia sumu na kuwaibia pesa wanaija, kuna deni la mchezaji nyota wa Newcastle.

Famasihala nini
Wewe uliyekosa akili za kufikiria bado upo tu humu hujakata tamaa tu? Uwezi kupanga plan ya mbele wakati una jambo kubwa sana siku za usoni, ambalo likifanikiwa itakuwa ni heshima kubwa sana kwa ukanda wetu wa CECAFA. Halafu kazi yake sio kuwaza atamsajili nani bali ni kutoa kitita cha pesa baada ya kupata ripoti ya wahusika (benchi la ufundi ikishirikiana na watu wa scouting) ila kwasasa mipango yote inaelekezwa kwenye mechi ya fainali kwanza. Nyie Simba ndio muwaze usajili kwasababu mmeshamaliza msimu ila Yanga haijamaliza bado msimu, ana mechi tatu za kumfanya abebe makombe mawili
 
Mimi nafikri iyo Dola 30,000/= ni Kwa timu nzima.
Nitakua mtu wa mwisho kuamini GSM anatoa Dola 30,000/= Kwa Kila mchezaji.
Umeambiwa pesa ya zawadi asilimia 47 hujaelewa nn hapo
 
Wewe uliyekosa akili za kufikiria bado upo tu humu hujakata tamaa tu? Uwezi kupanga plan ya mbele wakati una jambo kubwa sana siku za usoni, ambalo likifanikiwa itakuwa ni heshima kubwa sana kwa ukanda wetu wa CECAFA. Halafu kazi yake sio kuwaza atamsajili nani bali ni kutoa kitita cha pesa baada ya kupata ripoti ya wahusika (benchi la ufundi ikishirikiana na watu wa scouting) ila kwasasa mipango yote inaelekezwa kwenye mechi ya fainali kwanza. Nyie Simba ndio muwaze usajili kwasababu mmeshamaliza msimu ila Yanga haijamaliza bado msimu, ana mechi tatu za kumfanya abebe makombe mawili
Eti heshima ukanda wa CECAFA, hahah Yanga bwana mnafurahishaga sana. Hivi mnadhani kabisa dunia imesimama kwa nyie kuingia fainali ya shirikisho?

Halafu kwenye usajili, mfanyakazi mmoja wa GSM alihojiwa akisema yeye mwenyewee anasomaga na kuchunguza wachezaji na anayemtaka yeye mwenyewee anaendaga front kuwasajili. Au kaanza mapema kampeni za uchaguzi?
 
Unasumbuliwa na wivu pole sana.
 
Taifa Stars kwani tuliahidiwa bei gani tukimfunga Uganda?

Steve Nyerere leo hii anahitaji ahadi ya bei gani kama motisha ili aweze kushinda pambano lake dhidi ya Tyson?
Mkuu hata uzalendo wa kinafiki unaitaji, utopolo wapo kwenye hatua ya mwisho kabisa kuliletea heshima taifa. Tuungane nao hata ki shingo upande
 
Taifa limekuwa na heshima miaka yote kabla hata hao Uto hawajaanza harakati zao za kucheza mpira peku na kulitia aibu Taifa
 
Taifa Stars kwani tuliahidiwa bei gani tukimfunga Uganda?

Steve Nyerere leo hii anahitaji ahadi ya bei gani kama motisha ili aweze kushinda pambano lake dhidi ya Tyson?
Maswali haya yanaashiria Yanga kashapoteza fainali, maana hapa nchini wachezaji wakishaahidiwa mtonyo tayari wanapoteana. Yanga washafeli tayari.
 
Taifa limekuwa na heshima miaka yote kabla hata hao Uto hawajaanza harakati zao za kucheza mpira peku na kulitia aibu Taifa
Mkuu hautaki kombe lije nchini mwako? Au kisa litaletwa na utopolo ndio maana una nongwa?
 
Hii ni bab kubwa !
Wachexaji wetu watakimbia Kama wamewekewa Mashine miguuni
 
Badala ya kuwaza atamsajili nani yeye anatafuta sifa. Uzee unawanyemelea walioifikia timu hapa kwa miaka hii miwili, ndo maana Mayele nafasi 20 anatupia moya, kina Bangala ndiyo washapotea. Kuna deni la yule kocha aliyewaita manyani, kuna deni la CAF kwa kuwapulizia sumu na kuwaibia pesa wanaija, kuna deni la mchezaji nyota wa Newcastle.

Famasihala nini
Kawaida timu zote hata ulaya zina bonus hasa wakichukua mataji makubwa,halafu sasa hivi si mda wa kufikiria usajili, usajili utafanyika baada ya kumaliza msimu na kocha kukabidhi ripoti ya msimu mzima na mapendekezo ya wachezaji awatakao, sisi msimu bado hatuja maliza.

Mfano Madrid msimu uliopita baada ya kuchukua UEFA kila mchezaji alipiga Euro 900k bonus,City msimu huu wameambiwa kama wakichuku treble kila mchezaji anachukua Pound 2m bonus,so ni utaratibu wa kawaida.

Kwani nyinyi wazee wa super league bado hamja wahaidi wachezaji wenu kama wakichukua hiyo super legue? au hamjiamini au mnajijua wenyewe nyie ni mabingwa wa kushiriki.

Halafu kupanga ni kuchagua nyie mliwapa wachezaji wenu bodaboda, sie tumeamua kuwapa hela.
images (65).jpeg
 
Back
Top Bottom