GSM aahidi mil 60 kila mchezaji kama yanga ikitwaa ubingwa CAFCC

Hela hizo anatoa mzee wa mizoga huyo gsm si kivuli tu bado hamjajua mpaka leo????why???
Piga hesabu vzr boss, kule wakichukua kombe kuna zaidi ya tsh. bil 4. Watapata.

Hizo ml. 60 kwa kila mchezaji, mfano kuna wachezaji 30 × 60ml=1,800ml. Ambayo ni sawa na bl1.8. Hata nusu ya hiyo hela haijafika! Ndio maana kasema ni 47%.
 
Muwe mnatumia akili, pesa ya Yanga GSM hawahusiki nayo wala hawana mandate nayo, Yanga ni taasisi.
Pesa ya Yanga GSM hawahusiki nayo kivipi? ni nani anayeiendesha Yanga kwa sasa? Je anaendesha kwa pesa za Yanga au kwa pesa zake?
 
Pesa ya Yanga GSM hawahusiki nayo kivipi? ni nani anayeiendesha Yanga kwa sasa? Je anaendesha kwa pesa za Yanga au kwa pesa zake?
Huyu achana nae ni shabiki wa yanga wa matokeo tu, hajui ugumu uliopo katika kuendesha timu ya mpira
 
Kwahiyo kwako wewe unahisi hiyo hela inatolewa tu au sio?

Yaani nchi hii unajiamulia tu kiwa unatoa bil 2 kama zawadi ya wachezaji tena wasiokuwa wafanyakazi wako?

Tumia akili hiyo.
Waambie waelewe hao timu mbumbumbu
 
Mimi nafikri iyo Dola 30,000/= ni Kwa timu nzima.
Nitakua mtu wa mwisho kuamini GSM anatoa Dola 30,000/= Kwa Kila mchezaji.
Anachukua kwenye hela ya zawadi ya ubingwa, kumbuka hela ya zawadi ni mali ya timu sio mali ya wachezaji, sasa mfadhili ana haki ya kuipangia matumizi maana kumbuka hadi sasahivi yanga hajapewa hata senti tano ya kushiriki huko caf pesa zote zinatoka kwa GSM
 
Kwahiyo kwako wewe unahisi hiyo hela inatolewa tu au sio?

Yaani nchi hii unajiamulia tu kiwa unatoa bil 2 kama zawadi ya wachezaji tena wasiokuwa wafanyakazi wako?

Tumia akili hiyo.

nadhani unayohoji yana mantiki sana ila kwa nchi yetu hii sidhani kama utapata majibu. Fikiria timu kama singida big stars imepanda daraja ndani ya msimu mmoja imeweza kusajili hadi wa brazil. Pesa haijulikani zinatoka wapi,Hakuna anayehoji, halafu timu hiyohiyo akitumbuliwa mwanasiasa fulani na yenyewe inakufa.

haya mambo ni kushabikia kwa kujifanya mjinga tu kwa sababu kwa nchi hii hata ukihoji nothing happen.
 
...
 
Wanaume wameanza lini kuwapangia.BAJETI wanaume wenzao?
 
PRIZE MONEY ya Bingwa wa CAFCC.

Hiko ndicho chanzo cha pesa.
 
PRIZE MONEY ya Bingwa wa CAFCC.

Hiko ndicho chanzo cha pesa.
Sasa nenda juu pale na uandike YANGA kuwapa bonus ya mil 63 kwa kila mchezaji endapo watachukua ubingwa. Neno GSM linaondoa maana na ya hiyo PRIZE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…