GSM aahidi mil 60 kila mchezaji kama yanga ikitwaa ubingwa CAFCC

Sasa nenda juu pale na uandike YANGA kuwapa bonus ya mil 63 kwa kila mchezaji endapo watachukua ubingwa. Neno GSM linaondoa maana na ya hiyo PRIZE.
The whole department of Finance ipo chini ya GSM ambaye ni main financee ktk klabu. Ikumbukwe kuwa muwakilishi & msimamizi wake katika shughuli za kifedha klabuni ni RAIS wa klabu.

Pato lolote la pesa klabu lazima litolewe maamuzi by Financee. Kama ilovyo kwa pesa ya maatumizi ya klabu.

Bodi ya wakurugenze ya Klabu ya YANGA haijawahi kukaa kikao chochote rasmi cha kuruhusu bonus ya milion 60 kwa kila mchezaji.

Kumbuka piaa, PRIZE money ni pato la klabu kwa kuwa GSM alikuwa akicover gharamaa zote za matumizi ya kifedha ambayo YANGA ilikuwa ikishiriki katika kampeni ya CAF.
 
Kwa ahadi hii Yanga hawezi chukua hicho kikombe. Ahadi ya wachezaji wa Simba kupewa kila mmoja gari mpya aina ya Kia ndiyo ililipeperusha lile kombe. Nimekaa pale [emoji117][emoji117]
 
Kwa ahadi hii Yanga hawezi chukua hicho kikombe. Ahadi ya wachezaji wa Simba kupewa kila mmoja gari mpya aina ya Kia ndiyo ililipeperusha lile kombe. Nimekaa pale [emoji117][emoji117]
Ahadi ya AZIM DEWJ ilikuwa haina uhalisia.

Unawezaje kuwapa ahadi ya magari ya gharama kila mchezaji ikiwa hata CAF haikuwa na PRIZE MONEY kwa kipindi hiko..?

AZIM Dewj angetoa wapi pesa za kuwapa wachezaji ikiwa kipindi hiko wachezaji walikuwa wanalipwa posho tu kama mishahara yao.

Hata wachezaji nao walilitambua hilo, ila walienda kucheza kwa kujitolea tu. Kwa kuwa hata mpira wa kipindi hiko ulikuwa ni wa ridhaa tu.

Simba walikosa kombe lile kwa sababu ya uwezo wao haukuwa wa kiushindani. Wapinzani wao walikuwa bora zaidi ya Simba.

Kuna kiongozi wenu maarufu aliandika historia ya klabu ya simba , tafuta kitabu chake ameeleezea hili jambo vyema sana.
 
Hesabu ndogo, hela ya zawadi ndogo tu, bingwa shirikisho niliona mtu akisema kuwa anakunja TZS 4b , Sasa ukiwapa wachezaji 30 @ 60m = 1.8b , chenji ( profit) inabaki TZS 2.2b , GSM is generous na akili kubwa Utopoloni tutatawala mpira wa Tanzania na Afrika miaka mingi! Wanaoleta ushindi Raha na Pesa ni wachezaji wape chao wakupe chako. Ukila na kipofu usimshike mikono!
 
Nimekaa paleee[emoji117][emoji117][emoji117]
 
Walikimbia vipindi vya Hesabu.
 
Hakuna kitu kama hicho kwenye sheria za kampuni otherwise useme moja hapo ni PARENT kitu ambacho sio kweli.
 
Hakuna kitu kama hicho kwenye sheria za kampuni otherwise useme moja hapo ni PARENT kitu ambacho sio kweli.
Haya from your finance perspective, tumbie...


Sheria za Kampuni zinasemaje haswa kwenye eneo la Income & Expenditure...?
 
Habari ziwafikie wajane wote Kule msimbazi kuwa tunaoa mke mwingine wa kiarabu. Na tunamjengea nyumba ya MILIONI 60 bila hiyana.
 
Mimi nafikri iyo Dola 30,000/= ni Kwa timu nzima.
Nitakua mtu wa mwisho kuamini GSM anatoa Dola 30,000/= Kwa Kila mchezaji.
Anaweza kuwapa kweli maana wachezaji 30 * 30,000 = 900,000

Bingwa analipwa USD 2,000,000.

Hivyo wachezaji watapewa 50% ya tuzo ya ubingwa.
 

Attachments

  • Screenshot_2023-05-27-14-23-13-81.jpg
    52.6 KB · Views: 2
Kabla ya kujua idadi ya wazawa.

Jiulize Klabu ya yanga sc inatokea nchi gani?

Ukipata jibu, huto uliza uraia wa wachezaji.
Tukiondoa hao wakongo hamuwezi kuingia hata top four NBC premier league
 
Tukiondoa hao wakongo hamuwezi kuingia hata top four NBC premier league
Ungemuondoa Lienel Messi Nou Camp, Je Barcelona ingeshinda mataji mangapi ya UCL kati ya mataji ambayo Messi ameshinda akiwa Barca...?


#CheapArgiument
 
Hivi ni kweli Azim dewj mjombake Mooooo alifanya hivyo na sio Mikia ilizidiwa na Stella Abjan?
 
Kama namwona kibwana wakibeba kombe

Atatamba sana [emoji1787][emoji1787]
 
Kwa ahadi hii Yanga hawezi chukua hicho kikombe. Ahadi ya wachezaji wa Simba kupewa kila mmoja gari mpya aina ya Kia ndiyo ililipeperusha lile kombe. Nimekaa pale [emoji117][emoji117]
Kwa kuwa ilitokea kwa Simba basi kwa Yanga napo itatokea,yaani mnapenda kufananisha kwenye mabaya ila mazuri....... hamtaki kulinganishwa.

Club zote duniani kwenye hatua kama hizi huweka bonus AC Roma kuna bonus wamewekewa wakichukua Europa Cup,Westham nae wamewekea bonus, Man City wao wameambiwa kama wakichukua treble (EPL,FA na UEFA) wanapewa pound 2m (Tsh 7bil),ina maana hawa hawatochukua,kisa wamehaidiwa hela.

Mbona nyie mliwekea bodaboda kama bonus ya kuchukua ubingwa VPL na mkachukua ubingwa,sasa unacho shangaa Yanga kuwekewa 60+m.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…