demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
- Thread starter
- #121
The whole department of Finance ipo chini ya GSM ambaye ni main financee ktk klabu. Ikumbukwe kuwa muwakilishi & msimamizi wake katika shughuli za kifedha klabuni ni RAIS wa klabu.Sasa nenda juu pale na uandike YANGA kuwapa bonus ya mil 63 kwa kila mchezaji endapo watachukua ubingwa. Neno GSM linaondoa maana na ya hiyo PRIZE.
Pato lolote la pesa klabu lazima litolewe maamuzi by Financee. Kama ilovyo kwa pesa ya maatumizi ya klabu.
Bodi ya wakurugenze ya Klabu ya YANGA haijawahi kukaa kikao chochote rasmi cha kuruhusu bonus ya milion 60 kwa kila mchezaji.
Kumbuka piaa, PRIZE money ni pato la klabu kwa kuwa GSM alikuwa akicover gharamaa zote za matumizi ya kifedha ambayo YANGA ilikuwa ikishiriki katika kampeni ya CAF.