GSM aahidi mil 60 kila mchezaji kama yanga ikitwaa ubingwa CAFCC

Inanikumbusha ile ya mwaka 1993 kati ya Simba na Stella Abdijan. Mdhamini anaahidi kila mchezaji gari aina ya KIA, then baadae Mdhamini anawafata pembeni beki mmoja na kipa anawaambia ahadi haitekelezeki kwa wachezaji wote, jifungisheni nyie wawili tutawapa KIA mbili mbili. Ndivyo inavyokuwa.
Nakumbuka lakini sio kwa Yanga hii bob
 
mo siyo tatizo tatizo wanao pewa pesa za usajili kwani sawadogo aliletwa na mo hawa wapo na wataendelea kuwapo manara aliwaona akawambia mkamkimbiza.
 
Unaona nyingi? Si akikusanya around 1.2B anawalipa anamaliza, faida anayopata kibiashara Yanga kuchukua kombe ni kubwa zaidi ya hapo. Na isitoshe anatoa 47% ya hela atakayepokea
Kombe liko wapi? Namaanisha hilo ambali tayari mmechukua kiasi cha kulihesabu kama faida mliyonayo?
 
mo siyo tatizo tatizo wanao pewa pesa za usajili kwani sawadogo aliletwa na mo hawa wapo na wataendelea kuwapo manara aliwaona akawambia mkamkimbiza.
Shida moja nyie Kolo elimu ndogo sana, Mo sio muwekazaji bali ni Dalali pale simba kuna wakati anasikiliza upepo anatembea nao.

Mwekezaji proper kwanza tunajua anakuwa Bize sana na issue zake za kibiashara, lazima atafute mtu makini ambaye atakuwa anasimama kwa niaba yake mwenye uweledi na maswala ya mpira na asiye na njaa kariba kama ya Hersi said lakini ninavyojua wahindi walivyo bahili na wajanja wajanja hawezi fanya hivyo, asipoweka swala yake ataweka ndugu yake kitu ambacho sio sawa,
 
Tofauti ni ipi? Sponsor hategemee returns? Au we unafikiri ana donate tu.
Sponsor - return yake ni matangazo ya biashara/vitu zake
wanaodonate ni ma-philanthropist
na mpira hauna hio mkuu
Sema Mo shida yake anaifanya Simba kama mali/kampuni yake binafsi
 
Tajiri Asiye Bahili & Mwenye roho safi leo mchana amepata fursa ya kuzungumza na wachezaji kielekea mchezo wa kwanza wa fainali ya CAFCC.

Katika Kikqao hiko kifupi Ameahidi wachezaji kwamba kila mchezaji atajipatia zawadi ya USD 30,000 Endapo Klabu ikifanikiwa kutwaa taji la CAFCC Msimu huu.

Pesa hizo ambazo zitatikana na ushindi wa taji hilo ni sawa na asilimia 47% ya jumla ya pesa ambazo klabu itapata baada ya kushinda hilo taji.

Aidha Boss GSM amewahikikishia wachezaji kuwa endapo wakishinda tajo hilo msimu huu basi kuna mpango wa zawadi kubwa ambaao ameuandaa kwa kila mchezaji katika msimu mpya wa CAF utakao anza wakati ujao.

View attachment 2635648

Hii ni BONUS kubwa sana kuwahi kuahidiwa kwa wachezaji katika historia ya mpira wa miguu Tanzania.
Hili kombe lina maana kubwa sana kwake KIBIASHARA
 
Sijaelewa hii pesa itatolewa mfukoni kwa mtu anayeitwa GSM au itatolewa na kampuni inayotambulika kama GSM group of Companies.

Motive ya hii nini?

Hizo fedha zikitoka huko zinakotoka zitatambulika zimetoka kama nini? Sponsorship, advertisement au Aidful?

Utaratibu wa nchi yetu hasa ni upi juu ya mtu au kampuni itakapoamua kugawa kiasi kikubwa kama hiko cha fedha kwa Third parties?

Kwamba ni rahisi mtu au kampuni kuinject pesa kutoka outsource kiasi hiki?

Inawezekana vipi kiasi cha bil 1.9 kitolewe tu kama zawadi?

Au wamemaanisha hii itakuwa pesa ile ya ZAWADI ya ushindi yaani Bil 4.7 ndio katika humo watatoa kiasi hiko kwa kila mchezaji.

Hii taarifa ndio nimeiona muda si mrefu, ila bado napata mashaka ni kama hii taarifa haijakamilika.

Siamini kama nchi hii unaweza kuwapa watu zawadi bil 1.9 bila kuulizwa source ya hiyo pesa and how gharama hii itereheshwa?

Wadau naomba tuiweke hii kitaalam zaidi. Nimeshtuka sana na habari hii.

Nani halisi atatoa pesa hii, na itatoka kutoka kwenye Source ipi, na let say kwenye financial statements how will it be recorded so as to qualify as an expense.
 
Comment ndefu alafu ni pumba. Huwa hutumii ubongo kwenye suala lolote?
 
Ooh sina akili, naomba unieleweshe utaratibu huo wa kutoa bil 1 kama zawadi, tena kutoka kampuni au mtu binafsi kwenda kwa wafanyakazi w kampuni nyingine.

Nipe Elimu, wewe ni mjuzi zaidi.
 
Hata usijichoshe yeye mwenyewe kiazi mmoja tu. Ana stress za kutungiwa mimba na mwanaume mwenzie kwa mkewe
 
Ni yale yale Yanga akishida atapewa $2m na CAF kama zawadi kwa bingwa, ni sawa sawa na 4.6bn Tshilling, toa pesa ya wachezaji wote wa yanga atakao pewa hiyo 60m = ni 24×60= 1.4bn salio ni 3bn bado atapata faida mpira ni mahesabu. Capitalist hawezi kufanya hasara.

Kama hujui ni kwamba ela itakayovuna Yanga ni 4.7 billion hivyo hiyo ela ataitoa katika hiyo hesabu. Acha kupakazia watu vitu vya ajabu
Muwe mnatumia akili, pesa ya Yanga GSM hawahusiki nayo wala hawana mandate nayo, Yanga ni taasisi.
 
Sijaelewa hii pesa itatolewa mfukoni kwa mtu anayeitwa GSM au itatolewa na kampuni inayotambulika kama GSM group of Companies.

Motive ya hii nini?

Hizo fedha zikitoka huko zinakotoka zitatambulika zimetoka kama nini? Sponsorship, advertisement au Aidful?

Utaratibu wa nchi yetu hasa ni upi juu ya mtu au kampuni itakapoamua kugawa kiasi kikubwa kama hiko cha fedha kwa Third parties?

Kwamba ni rahisi mtu au kampuni kuinject pesa kutoka outsource kiasi hiki?

Inawezekana vipi kiasi cha bil 1.9 kitolewe tu kama zawadi?

Au wamemaanisha hii itakuwa pesa ile ya ZAWADI ya ushindi yaani Bil 4.7 ndio katika humo watatoa kiasi hiko kwa kila mchezaji.

Hii taarifa ndio nimeiona muda si mrefu, ila bado napata mashaka ni kama hii taarifa haijakamilika.

Siamini kama nchi hii unaweza kuwapa watu zawadi bil 1.9 bila kuulizwa source ya hiyo pesa and how gharama hii itereheshwa?

Wadau naomba tuiweke hii kitaalam zaidi. Nimeshtuka sana na habari hii.

Nani halisi atatoa pesa hii, na itatoka kutoka kwenye Source ipi, na let say kwenye financial statements how will it be recorded so as to qualify as an expense.
Ulofa Mbaya sana, hiyo pesa ni sawa na Land cruiser V8 VXR 4 tu.

Swaini kabisa.
 
Muwe mnatumia akili, pesa ya Yanga GSM hawahusiki nayo wala hawana mandate nayo, Yanga ni taasisi.
We ni mpumbavu tu sisi ni Yanga ila hatuwezi kuingea upuuzi kama wako, unajua maana ya Taasisi? Na maana ya sponsor au unaongea kwasbb ulisikiliza uchambuzi uchwara radioni....
 
Mpumbavu baba'ko, huna akili kichwani.
 
Back
Top Bottom