GSM aahidi mil 60 kila mchezaji kama yanga ikitwaa ubingwa CAFCC

GSM aahidi mil 60 kila mchezaji kama yanga ikitwaa ubingwa CAFCC

Kwa kuwa ilitokea kwa Simba basi kwa Yanga napo itatokea,yaani mnapenda kufananisha kwenye mabaya ila mazuri....... hamtaki kulinganishwa.

Club zote duniani kwenye hatua kama hizi huweka bonus AC Roma kuna bonus wamewekewa wakichukua Europa Cup,Westham nae wamewekea bonus, Man City wao wameambiwa kama wakichukua treble (EPL,FA na UEFA) wanapewa pound 2m (Tsh 7bil),ina maana hawa hawatochukua,kisa wamehaidiwa hela.

Mbona nyie mliwekea bodaboda kama bonus ya kuchukua ubingwa VPL na mkachukua ubingwa,sasa unacho shangaa Yanga kuwekewa 60+m.
Tayari pua zimeshakutanuka hapo. Relax!!
 
Ukiona mtu mwenye akili zake timamu anauliza swali kama hili basi kama ni mke au mume wa mtu hakuna kitu hapo bali ni box
Nikabidhi tundu lako dogo uone kama Mimi ni box au la.

Mimi nimemjibu mtu aliyesema "Hamna tajiri pale, ulishawahi kuona wapi tajiri kanji?". Sasa mimi nikamchallenge kama Kanji si tajiri ila Mwarabu ni tajiri, haya huyo Mwarabu ni tajiri wa ngapi Africa ukimlinganisha na Kanji? Kosa langu ni nini pale hadi unitolee lugha mbovu? Au mnataka muwe mnaleta upupu tu hapa na tusihoji?
 
Kweli sijakosea kukuita box mtu mwenye akili timamu hawezi kuongea utumbo huu
 
Feisal mmeshindwa kumlipa halafu mnaleta siasa ila mpira wa bongo kila kitu comedy tu.
 
Kuna mtu kabisha kuwa hakuna klabu inayoweza toa bonas ya kombe kwa wachezaji.

Nikampa hiyo post kama ushahidi.
Ushahidi uliompa haujitoshelezi, mara ya mwisho umesikia Madrid anatembeza bakuli kwa wanachama na mashabiki wake ni lini? Kujifananisha nao kisa na wao wametoa bonasi ni kujitutumua tu. Na ishu siyo kutoa bonasi, ni jambo jema kujali wachezaji, wasisahau kuboresha maslahi yao ya kila mwezi.
 
Back
Top Bottom