GSM aiwekea Prisons milioni 25 dhidi ya Simba

Bodi ya Ligi mpo wapi? Mamlaka za kupambana na ufisadi mko wapi?Kila mechi ya Simba bahasha huwekwa Ili Simba ifungwe!

Je, tunapaswa kuwa na chombo maalumu kwa ajili ya kufuatilia Mambo km haya na kuchukua HATUA stahiki za kisheria?

Huwezi kusikia motisha Ili Yanga ifungwe?

Wanajua pamoja na kuimba kwamba Simba Ni mbovu lkn bila bahasha Simba itasshinda mechi zake na kuchukua ubingwa.

Nb: Nadhani ndiyo njia waliyoichagua Ili kudhoofisha wapinzani wao. Ubingwa wa bahasha.

Screenshot_20231005-073757.jpg
 
GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.

Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
Mkuu report TAKUKURU tusifumbie macho viashiria au vitendo vya rushwa.
 
Ukiona mwanamke ameanza kuonyesha dalili za hivyo jua amepata mtu mwingine huko ambaye anamkeep busy.

Umefanya vizuri kufuta kila kitu chake, mpotezee kabisa na uendelee na maisha yako mkuu.
 
Simba itayocheza leo ni nyingine

Mechi ya leo kwa jinsi Simba atavyocheza hata wangeambiwa milion 25 kwa on target moja bado wangeitapika
 
GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.

Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
Kaka sasa motisha ndio itafunga au mpira utachezwa tu kwa haki?
Sasa mnaogopa nini?
 
GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.

Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
Ugonjwa wa kuweweseka tiba yake uwa ni Nazi mbichi changanya na mavi ya tembo wa kike, kikosi chenu Hali yake inajulikana mnaanza kuja hapa kutafuta pa kufia!!!
 
GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.

Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
Tulijua tu huyo fisadi mtoa rushwa baada ya kunasa ihefu atatoa rushwa kwa prison. Wana simba waungane kuchunga timu yao maana huyu fisadi atatoa pesa kuhujumu simba leo. Wachezeshaji mchezo mungu anawaona.
Prisons wajue hela za GSM sio motisha kwani hahusiki na usimamizi wa timu hiyo. Pesa za GSM ni rushwa maana huyo GSM hataishia hapo ila atahujumu mechi dhidi ya simba.
 
Hakuna jipya hapo. Hizi siasa za mpira hazitakaa ziishe leo wala kesho kwani wote Simba na Yanga ndio michezo yao. Na hapo kinachotafutwa ni ili Simba apigwe ili kuwatuliza wananachama na wapenzi wao.. Kikubwa hapo ni hao Simba wayaache hayo nje ya uwanja wapambane uwanjani watafute matokeo. Tahadhari tu wasije wakacheza kibishoo kama walivyocheza na Power Dynamos kwani Prison wao wanapiga pira gwaride na wanafika sana maungoni na wacheze mpira wa kasi.
 
Bodi ya Ligi mpo wapi? Mamlaka za kupambana na ufisadi mko wapi?Kila mechi ya Simba bahasha huwekwa Ili Simba ifungwe!

Je, tunapaswa kuwa na chombo maalumu kwa ajili ya kufuatilia Mambo km haya na kuchukua HATUA stahiki za kisheria?

Huwezi kusikia motisha Ili Yanga ifungwe?

Wanajua pamoja na kuimba kwamba Simba Ni mbovu lkn bila bahasha Simba itasshinda mechi zake na kuchukua ubingwa.

Nb: Nadhani ndiyo njia waliyoichagua Ili kudhoofisha wapinzani wao. Ubingwa wa bahasha.

Kama ni mfuatliji wa mpira utaelewa na usingeandika utumbo Kama huu.

Hao Tanzania prisons huwa wanapewa motisha hata wakicheza na YANGA.
 
GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.

Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
prisons haina timu nzuri msimu huu
 
Haya SIMBA kazi kwenu! Mpigeni huyo Prison salam ziwafikie hao Uto waliowatuma
 
Back
Top Bottom