GSM aiwekea Prisons milioni 25 dhidi ya Simba

GSM aiwekea Prisons milioni 25 dhidi ya Simba

Uoga umezidi, GSM akikushtaki kwa kumchafua utashikilia wapi? Au ndio utamgeuzia makalio ili usalimike. Msomi unatakiwa uandike fact sio majibu ya kufikirika
 
Bodi ya Ligi mpo wapi? Mamlaka za kupambana na ufisadi mko wapi?Kila mechi ya Simba bahasha huwekwa Ili Simba ifungwe!

Je, tunapaswa kuwa na chombo maalumu kwa ajili ya kufuatilia Mambo km haya na kuchukua HATUA stahiki za kisheria?

Huwezi kusikia motisha Ili Yanga ifungwe?

Wanajua pamoja na kuimba kwamba Simba Ni mbovu lkn bila bahasha Simba itasshinda mechi zake na kuchukua ubingwa.

Nb: Nadhani ndiyo njia waliyoichagua Ili kudhoofisha wapinzani wao. Ubingwa wa bahasha.

Mbona hakuna GSM hapo! Ninavyojua prisons anadhaminiwa na silent ocean hata msimu jana alipewa ahadi kama iyo alivyocheza na yanga na jamaa walikichafua sana mechi ilikua ngumu sana goli la ushindi lilifungwa na feisal salum dakika za mwisho.
 
GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.

Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
Hivi kama timu haina uwezo hata iwekewe bilioni haiwezi kushinda.

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mshana Jr wewe ni Fundi gwiji, unaisaidiaje Simba?
Nazjaz wanijua vema
82b672ab598e006c872a6d9bb76ade14.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom