OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mkuu report TAKUKURU tusifumbie macho viashiria au vitendo vya rushwa.GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.
Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
Sportsarena,Source?
Wapi GSM katajwa?Sportsarena,
Ni GSM kwa sababu kwanini Ni mechi za Simba pekee? Halafu Ni haaka baada ya Yanga kubanduliwa.
Bahasha! View attachment 2772360
Kaka sasa motisha ndio itafunga au mpira utachezwa tu kwa haki?GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.
Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
Simba wameanza kutafuta VISINGIZIO vya kipuuzi, lazima wachapwe kuanzia 2-3,hakuna namna.Wapi GSM katajwa?
Wanazusha mambo na watapigwa mpaka waseme n kwann wanazusha mamboSimba wameanza kutafuta VISINGIZIO vya kipuuzi, lazima wachapwe kuanzia 2-3,hakuna namna.
Ugonjwa wa kuweweseka tiba yake uwa ni Nazi mbichi changanya na mavi ya tembo wa kike, kikosi chenu Hali yake inajulikana mnaanza kuja hapa kutafuta pa kufia!!!GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.
Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
Tulijua tu huyo fisadi mtoa rushwa baada ya kunasa ihefu atatoa rushwa kwa prison. Wana simba waungane kuchunga timu yao maana huyu fisadi atatoa pesa kuhujumu simba leo. Wachezeshaji mchezo mungu anawaona.GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.
Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
Kama ni mfuatliji wa mpira utaelewa na usingeandika utumbo Kama huu.Bodi ya Ligi mpo wapi? Mamlaka za kupambana na ufisadi mko wapi?Kila mechi ya Simba bahasha huwekwa Ili Simba ifungwe!
Je, tunapaswa kuwa na chombo maalumu kwa ajili ya kufuatilia Mambo km haya na kuchukua HATUA stahiki za kisheria?
Huwezi kusikia motisha Ili Yanga ifungwe?
Wanajua pamoja na kuimba kwamba Simba Ni mbovu lkn bila bahasha Simba itasshinda mechi zake na kuchukua ubingwa.
Nb: Nadhani ndiyo njia waliyoichagua Ili kudhoofisha wapinzani wao. Ubingwa wa bahasha.
prisons haina timu nzuri msimu huuGSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.
Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
Tangu lini?Simba wameanza kutafuta VISINGIZIO vya kipuuzi, lazima wachapwe kuanzia 2-3,hakuna namna.