GSM aiwekea Prisons milioni 25 dhidi ya Simba

Uoga umezidi, GSM akikushtaki kwa kumchafua utashikilia wapi? Au ndio utamgeuzia makalio ili usalimike. Msomi unatakiwa uandike fact sio majibu ya kufikirika
 
Mbona hakuna GSM hapo! Ninavyojua prisons anadhaminiwa na silent ocean hata msimu jana alipewa ahadi kama iyo alivyocheza na yanga na jamaa walikichafua sana mechi ilikua ngumu sana goli la ushindi lilifungwa na feisal salum dakika za mwisho.
 
GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.

Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
Hivi kama timu haina uwezo hata iwekewe bilioni haiwezi kushinda.

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…