Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Oct 5, 2023 #61 Dr Matola PhD said: Baada ya mechi ya leo jumapili Singida wanawasubili, halafu kuna wale mashujaa. Labda unaongelea ubingwa wa kujamba. Click to expand... Mivyura mna mihemukooo....
Dr Matola PhD said: Baada ya mechi ya leo jumapili Singida wanawasubili, halafu kuna wale mashujaa. Labda unaongelea ubingwa wa kujamba. Click to expand... Mivyura mna mihemukooo....
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,897 Reaction score 18,477 Oct 5, 2023 #62 This is... said: Sportsarena, Ni GSM kwa sababu kwanini Ni mechi za Simba pekee? Halafu Ni haaka baada ya Yanga kubanduliwa. Bahasha! View attachment 2772360 Click to expand... Hizi pesa za GSM anazochezea mara nyingi zinatokana na kukwepa kodi!!
This is... said: Sportsarena, Ni GSM kwa sababu kwanini Ni mechi za Simba pekee? Halafu Ni haaka baada ya Yanga kubanduliwa. Bahasha! View attachment 2772360 Click to expand... Hizi pesa za GSM anazochezea mara nyingi zinatokana na kukwepa kodi!!
lee Vladimir cleef JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 9,571 Reaction score 35,475 Oct 5, 2023 #63 Kwa kawaida ya Simba,ukiitangazia timu pinzani yake kuipa zawadi ya Hela ili kiufunga Simba,Simba hufanya mauaji. Rudisha kumbukumbu nyuma utaona.
Kwa kawaida ya Simba,ukiitangazia timu pinzani yake kuipa zawadi ya Hela ili kiufunga Simba,Simba hufanya mauaji. Rudisha kumbukumbu nyuma utaona.
Plan Master JF-Expert Member Joined Jan 1, 2021 Posts 2,188 Reaction score 3,762 Oct 5, 2023 #64 Simba nguvu moja.