Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
If you can't compete just Join the chainNachukia sana kuona Yanga anaenda kuwa bingwa tena kwa mara 4 mfululizo, I truly Hate it 😡
Hamasa haichezi mpira bali uwezo, hiyo mechi kesho hamshindi.Simba mna wakati mgumu sana siku ya kesho. Ingawa siwezi kupinga uwezo wa baadhi ya wachezaji wenu kuimarika siku za karibuni na hivyo kutegemea ushindani mkali kutoka kwenu.
HaishindiTaarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinaeleza kuwa mfadhili wa klabu ya Young Africans, GSM, ameahidi bonasi ya shilingi milioni 500 endapo timu hiyo itashinda dhidi ya Simba katika mechi inayotarajiwa kuchezwa Jumamosi.
Daaah! 'GDM' ndiyo ninaisikia leo!Maana kila Team ni GDM
Kesho siyo mbali.Hamasa haichezi mpira bali uwezo, hiyo mechi kesho hamshindi.
Vyanzo vya kuaminika vp? Hebu viweke kwanza hivyo vyanzoTaarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinaeleza kuwa mfadhili wa klabu ya Young Africans, GSM, ameahidi bonasi ya shilingi milioni 500 endapo timu hiyo itashinda dhidi ya Simba katika mechi inayotarajiwa kuchezwa Jumamosi.
Lazima sio, basi weka mil 10 uto kushinda upige mahela... aah utashangaa tena unaogopa.Ukitoa uchawi Yanga kushinda dhidi ya Simba kesho ni jambo la lazima hayo mengine yatakuwa mapenzi tu ya GSM mwenyewe ila Simba haina timu ya kuifunga Yanga
GSM anaharibu soka la Bongo.Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinaeleza kuwa mfadhili wa klabu ya Young Africans, GSM, ameahidi bonasi ya shilingi milioni 500 endapo timu hiyo itashinda dhidi ya Simba katika mechi inayotarajiwa kuchezwa Jumamosi.