GSM atakuwa na hela nyingi sana za kufanyia mzaha

Siku hizi thread za usimba na uyanga zimekuwa nyingi sana humu jukwaani na nimeacha kuchangia nyuzi hizi kwasababu ya uraibu na unazi mkubwa uliopo humu
 
GSM haingii hata robo Kwa MO
 
...Anadhamini ligi kuu,Anadhamini ligi daraja la kwanza,Anadhamini ligi kuu Zanzibar,atakuwa mdhamini wa kombe la Mapinduzi Zanzibar ...
Hayo ni matumizi, sio mapato. Matumizi mengi ya fedha haimaanishi ndio utajiri mkubwa! Hata walevi huwa na matumizi makubwa katika baa, lakini haimaanishi kwamba wana utajiri mkubwa kuliko wengine wasiokunywa pombe!
 
Hayo ni matumizi, sio mapato. Matumizi mengi ya fedha haimaanishi ndio utajiri mkubwa! Hata walevi huwa na matumizi makubwa katika baa, lakini haimaanishi kwamba wana utajiri mkubwa kuliko wengine wasiokunywa pombe!
Huwezi kuwa mlevi kama huna pesa. Au u azungumzia pombe za mataptap. Kama ni pombe zenyewe halisi aka beer basi lazima uwe na hela. Kama unabisha basi uwe na buku mfukoni tuone kama utakunywa pombe ya maana.

Anachofanya GSM ni kutangaza biashara zake. Anataka jina lake lisemwe na kuonekana kila mahali.Ili hata akitoa product itakuwa rahisi kuwika sokoni. Hivyo ndivyo walivyo wakina Mo pia na BakHresa.

Baadae anaweza anzisha kitu kipya chochote kinawika kwa speed mtaani. Kama ilivyokuwa kwa Ving'amuzi vya Azam Tv. Au Azam Marine.
 
Wasambaa wa Tanga ndio wanamiliki visima vya Mafuta!!..Hawa ambao hawana hata kiwanda na ni mawakala wa baadhi ya bidhaa za Metl?!!..Yani wakala wake anakua na fedha kuzidi mmiliki wa viwanda karibia nchi nzima?...
Uwakala sio inshu, wala usambaa sio inshu, hata Mo ni mtu wa Singida huko. Lakini utajiri anao. Hata Mo hatuna uhakika kama product zote ni zake. Hata Azam baadhi ya product wanatumia jina lake tu, lakini yeye sio mmiliki.
Kuwa distributor wa product kadhaa lazima uwe na mtaji wa kutosha. Angalia sasahivi 80%ya shaba ya Congo na Zambia anabeba yeye. Scania zake ukihesabu na kuuza. Unaona ni mtu mwenye pesa zake. Huwezi kumdharau
 
Wazee wa kupiga deal za mizigo enzi ya awamu ya nne,full utapeli na ushamba mwingi.Ona tu wanavyoendesha mambo yao ndiyo utajua,pale hata elimu haipo zaidi ya utapeli
Wewe mwenye elimu una Nini? Kwa Nini na wewe hujupiga dili awamu ya nne? Au wewe ilikuwa kwenye korodani bado?
Yani una akili za kimaskini Sana wewe.
 
Hivi mnaongeaga vitu mnavyovijuaga??
 
Hebu tupe hoja za kuthibitisha utapeli wa GSM

Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
 
unamsifiaje mwanaume mwenzio?
 
Mtoa mada skujui ila sidhani km account zako za bank , mpesa, tigo pesa zinafikisha milioni10 afu unataka ishauli kampuni yene billion of money ina washauri na watu wa mipango
 
Yes anafanya jambo jema kwa mpira wa miguu, ila kinachoonekana sasaa katika board yao of directors aidha kuna utoto mwingi au kuna ujinga mwingi.
Fuatilia madudu ya Huyu Gharib alianzia na Home shopping centre na ss GSM kariakoo wanaelewa kila kitu anahimaya mbaya Sana huyu mtu ni mchafu aliyechafuka so sishangai kufanya anayofanya ss ni miendelezo wa uchafu ule akiingia mahali
 
Wewe mwenye elimu una Nini? Kwa Nini na wewe hujupiga dili awamu ya nne? Au wewe ilikuwa kwenye korodani bado?
Yani una akili za kimaskini Sana wewe.

“Kule Yanga mwenye akili ni JK na Mzee Sunday Manara peke yake“ by msemaji wa Yanga Haji Manara
 
Inavoonekana Yanga wameshindwa kufikia matarajio ya kuitangaza GSM
LIKO WAZI HILO JAMAA HATA WAKISIKIA SIMBA WAKO MAHALA WANATAMANI WALETE BANNERS ZAO UTOPOLO WASHAFAIL JAMAA WANAITAMANI SIMBA WANAJIFANYA MAFIA SASA LIWALO NA LIWE ACHA LIGI IHARIBIKE KUDADEKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…