yaramazlik
Senior Member
- Apr 7, 2012
- 174
- 251
lookWazee wa kupiga deal za mizigo enzi ya awamu ya nne,full utapeli na ushamba mwingi.Ona tu wanavyoendesha mambo yao ndiyo utajua,pale hata elimu haipo zaidi ya utapeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lookWazee wa kupiga deal za mizigo enzi ya awamu ya nne,full utapeli na ushamba mwingi.Ona tu wanavyoendesha mambo yao ndiyo utajua,pale hata elimu haipo zaidi ya utapeli
k{oKiongozi kwanini uumie kwa pesa za watu?
GSM haingii hata robo Kwa MOManeno ya wakosaji.Mwambieni Mo nae aweke hela kumbuka GSM ni tajiri kweli kweli fuatilia usimuliwe habari zake.Mfano
Wanamiliki visima vya mafuta vya kutosha uko uarabuni na
Baba yake Mzazi yuko huko.
Anadhamini ligi kuu,Anadhamini ligi daraja la kwanza,Anadhamini ligi kuu Zanzibar,atakuwa mdhamini wa kombe la Mapinduzi Zanzibar hapa sijuhi Simba mtakwepa wapi vinginevyo msishiriki mjitoe Na kwa Taarifa tu mambo lukuki ya GSM yanakuja hapa Mimi Nafikiri mshaurine Tapeli ya kihindi nae aweke mzigo zaidi.Niwape umbea tu hiyo mechi ya Jumamosi wachezaji wameaidiwa donge nono haijawahi kutokea katika soka la Tanzania.
Kwa hali hii GSM anavyotumia pesa mjiandae kisaikolojia Usajiri wa dirisha dogo,Chama na wengineo kwenda Jangwani kwani hela si tatizo
Hayo ni matumizi, sio mapato. Matumizi mengi ya fedha haimaanishi ndio utajiri mkubwa! Hata walevi huwa na matumizi makubwa katika baa, lakini haimaanishi kwamba wana utajiri mkubwa kuliko wengine wasiokunywa pombe!...Anadhamini ligi kuu,Anadhamini ligi daraja la kwanza,Anadhamini ligi kuu Zanzibar,atakuwa mdhamini wa kombe la Mapinduzi Zanzibar ...
Huwezi kuwa mlevi kama huna pesa. Au u azungumzia pombe za mataptap. Kama ni pombe zenyewe halisi aka beer basi lazima uwe na hela. Kama unabisha basi uwe na buku mfukoni tuone kama utakunywa pombe ya maana.Hayo ni matumizi, sio mapato. Matumizi mengi ya fedha haimaanishi ndio utajiri mkubwa! Hata walevi huwa na matumizi makubwa katika baa, lakini haimaanishi kwamba wana utajiri mkubwa kuliko wengine wasiokunywa pombe!
Uwakala sio inshu, wala usambaa sio inshu, hata Mo ni mtu wa Singida huko. Lakini utajiri anao. Hata Mo hatuna uhakika kama product zote ni zake. Hata Azam baadhi ya product wanatumia jina lake tu, lakini yeye sio mmiliki.Wasambaa wa Tanga ndio wanamiliki visima vya Mafuta!!..Hawa ambao hawana hata kiwanda na ni mawakala wa baadhi ya bidhaa za Metl?!!..Yani wakala wake anakua na fedha kuzidi mmiliki wa viwanda karibia nchi nzima?...
Wewe mwenye elimu una Nini? Kwa Nini na wewe hujupiga dili awamu ya nne? Au wewe ilikuwa kwenye korodani bado?Wazee wa kupiga deal za mizigo enzi ya awamu ya nne,full utapeli na ushamba mwingi.Ona tu wanavyoendesha mambo yao ndiyo utajua,pale hata elimu haipo zaidi ya utapeli
Hivi mnaongeaga vitu mnavyovijuaga??Maneno ya wakosaji.Mwambieni Mo nae aweke hela kumbuka GSM ni tajiri kweli kweli fuatilia usimuliwe habari zake.Mfano
Wanamiliki visima vya mafuta vya kutosha uko uarabuni na
Baba yake Mzazi yuko huko.
Anadhamini ligi kuu,Anadhamini ligi daraja la kwanza,Anadhamini ligi kuu Zanzibar,atakuwa mdhamini wa kombe la Mapinduzi Zanzibar hapa sijuhi Simba mtakwepa wapi vinginevyo msishiriki mjitoe Na kwa Taarifa tu mambo lukuki ya GSM yanakuja hapa Mimi Nafikiri mshaurine Tapeli ya kihindi nae aweke mzigo zaidi.Niwape umbea tu hiyo mechi ya Jumamosi wachezaji wameaidiwa donge nono haijawahi kutokea katika soka la Tanzania.
Kwa hali hii GSM anavyotumia pesa mjiandae kisaikolojia Usajiri wa dirisha dogo,Chama na wengineo kwenda Jangwani kwani hela si tatizo
Hebu tupe hoja za kuthibitisha utapeli wa GSMWewe hujui kitu Eti GSM ana beba 80% ya Shaba wewe hujui lolote kabisa sasa TRH nae utamweka wapi?!!..Mo nae anabeba Shaba,hawa swift motors nao wanabeba Shaba,hawa Overland nao wanabeba Shaba!!..GSM ni tapeli kama matapeli wengine !!!.. Usipende kuongelea jambo usilolijua Ndugu yangu!!!
Enhee what happened after...mbona anafanya kazi legally kama ilikuwa hivyo serikali si wangemzuiaAlikua ana daiwa malimbikizo ya madeni na Kodi za Serikali akajifanya amafilisika (Home shopping)... Huyu alikimbizia (Rwanda) Magari yake ili yasikamatwe na mabenki!!..
unamsifiaje mwanaume mwenzio?Maneno ya wakosaji.Mwambieni Mo nae aweke hela kumbuka GSM ni tajiri kweli kweli fuatilia usimuliwe habari zake.Mfano
Wanamiliki visima vya mafuta vya kutosha uko uarabuni na
Baba yake Mzazi yuko huko.
Anadhamini ligi kuu,Anadhamini ligi daraja la kwanza,Anadhamini ligi kuu Zanzibar,atakuwa mdhamini wa kombe la Mapinduzi Zanzibar hapa sijuhi Simba mtakwepa wapi vinginevyo msishiriki mjitoe Na kwa Taarifa tu mambo lukuki ya GSM yanakuja hapa Mimi Nafikiri mshaurine Tapeli ya kihindi nae aweke mzigo zaidi.Niwape umbea tu hiyo mechi ya Jumamosi wachezaji wameaidiwa donge nono haijawahi kutokea katika soka la Tanzania.
Kwa hali hii GSM anavyotumia pesa mjiandae kisaikolojia Usajiri wa dirisha dogo,Chama na wengineo kwenda Jangwani kwani hela si tatizo
Fuatilia madudu ya Huyu Gharib alianzia na Home shopping centre na ss GSM kariakoo wanaelewa kila kitu anahimaya mbaya Sana huyu mtu ni mchafu aliyechafuka so sishangai kufanya anayofanya ss ni miendelezo wa uchafu ule akiingia mahaliYes anafanya jambo jema kwa mpira wa miguu, ila kinachoonekana sasaa katika board yao of directors aidha kuna utoto mwingi au kuna ujinga mwingi.
Ghalib anaitamani sana timu ya moyo wake(Simba Sports Club) lakini ndiyo hivyo haiwezekani tena . Yuko Utopolo kimchongo mchongo tu kutengeneza fedha.Inavoonekana Yanga wameshindwa kufikia matarajio ya kuitangaza GSM
Wewe mwenye elimu una Nini? Kwa Nini na wewe hujupiga dili awamu ya nne? Au wewe ilikuwa kwenye korodani bado?
Yani una akili za kimaskini Sana wewe.
LIKO WAZI HILO JAMAA HATA WAKISIKIA SIMBA WAKO MAHALA WANATAMANI WALETE BANNERS ZAO UTOPOLO WASHAFAIL JAMAA WANAITAMANI SIMBA WANAJIFANYA MAFIA SASA LIWALO NA LIWE ACHA LIGI IHARIBIKE KUDADEKIInavoonekana Yanga wameshindwa kufikia matarajio ya kuitangaza GSM