GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

Kumbe models ni mbwana samata,joti,masanja,majuto ee naona umewataja hapo juu.
Kwan kuwa na watoto dhambi?majuto hana watoto? Mama watano lakini bado analipa
Ok, hivi huyu mama watano naye ni model?
 
Mbona Jay z alivyokuja kizindua mradi wa tasaf miaka iliyopita hukuongea fungua business yako na wew umuweke gigy money au amberlullu
 
Mkuu tatizo siyo IQ ya Watanzania Zari anauzika ukilinganisha na celebrities wa kibongo. Ni hilo tu na kama alivyosema DEMBA hapa Tanzania na East Africa kwa ujumla hakuna KE celebrity mkubwa kama Zari.

Na wanaomchagua Zari si Wabongo wanaompenda bali ni hao wenye biashara zao kwa kujua anauzika kuliko celebrity mwingine yeyote yule wa kike.

Tatizo bado liko palepale IQ za Watanzania ndio tatizo kubwa, kwahiyo huyu Zari ana benefit kwa Diamond out of uhawara wao?

Angalau umenifumbuwa macho nimeanza kuelewa maana mimi Insta nimejiunga kwa ajili ya yule dada yetu kipenzi ili nisipitwe na series zake na mitusi yake. Otherwise sina la zaidi kwenye Insta.
 
Mkuu tatizo siyo IQ ya Watanzania Zari anauzika ukilinganisha na celebrities wa kibongo. Ni hilo tu na kama alivyosema DEMBA hapa Tanzania na East Africa kwa ujumla hakuna KE celebrity mkubwa kama Zari.

Na wanaomchagua Zari si Wabongo wanaompenda bali ni hao wenye biashara zao kwa kujua anauzika kuliko celebrity mwingine yeyote yule wa kike.
Well je hawa wa kwetu wanakubali kujifunza? Wameshafanya research ni wapi anapowapiga tobo?
 
Kwanza uzinduzi ukifanywa na mwanamke huwa na kivutio ndio maana hata medali na makombe zinapokabidhiwa kwa timu iliyoshinda mabinti ndio huwekwa

Pili Zari ni maarufu afrika mashariki na sehemu nyingi Africa kama south Africa sasa duka likizinduliwa na Zari watu mpaka wa Africa kusini watajua na pia Zari ana mashabiki wengi mpaka Afrika kusini sasa huoni akipost kwenye Instagram yake uzinduzi huoni kama GSM watapata soko kubwa na kujulikana sehemu kubwa

Halafu Zari ana mashabiki wengi TZ na yupo kwenye hotnews midomoni

Nadhani kwa models wa kike kwa TZ wale maarufu bado sana ,sepetu kachuja ..Gigi money ndio anatikisa ila bure hamna kitu ..

Wasanii wa kiume wangezindua ila akifungua demu huwa kuna taste na flavour Fulani hivi
 
Hilo la kujifunza si tatizo la wenye biashara zao Mkuu. Wao wanataka mtu leo watamchukua yule wanayemuona anastahil. Hao wa kujifunza wakajifunze kwa gharama zao ili kujua wapi wanakosea.

Well je hawa wa kwetu wanakubali kujifunza? Wameshafanya research ni wapi anapowapiga tobo?
 
Mkuu zidhani kama ulishawahi kumiliki biashara kumbwa kwasababu hujui hata marketing strategy mawanzo yako very local and primitive sanaaaa.katika free market economy. we we bado sana jiulize kwanini mtu ananua jezi ya ManU sio ya mtibwa sukali l!!!!!!!!!
 
Huna lolote,hapo juu tu ulivyoanza unaonekana unachuki na mnafki.

Kama kampuni iko Tz lazima ichukue models wa bongo?

Mbona unatumia bidhaa za nje,Je wewe unadharau bidhaa za ndani?
 
Inasikitisha sana pale watu MAKINI wa JF wanapogeuka kuwa watu wa OVYO kabisa..!
 
binafsi nimeanza kumjua zari baada tu ya kuwa na mahusiano diamond ,so katumia fursa vizuri
 
Miye mwenyewe sijajifollow, kwa kifupi sijui hata inatumikaje, mimi ni yule tu dada wa Taifa ndiye kiumbe pekee hapa Tanzanian aliyeweza kunishawishi kumfollow.
Ngema?
 
Mshamba ni wewe usiyejuwa hakuna mchina anayeweza kuagiza nguo bongo, labda pembe za ndovu.

Wewe jamaa uko chini ya kiwango sana napoteza muda kudabate na mtu mjinga kama wewe.
We nyamaza tu mshamba mkubwa
 
Kwanza kabisa napenda niwatakie Sabbatical njema, pili leo ni Nyerere day, nitamuenzi baba wa Taifa kwa njia hii.

Kwanza naomba nikiri huyu Zari mimi namsikia jina tu sijawahi kujuwa hasa kwa hakika shughuri zake ni nini zaidi ya kujuwa ni hawara wa msanii Diamond that's it. Huwa sina muda wa kudiscuss drama za watu wa aina hii lakini kwakuwa hili la zari lipo in economics grounds naomba nitowe maoni yangu.

Kwa maoni yangu ni dharau kwa Watanzania GSM kumleta Zari kuzinduwa hilo duka lao la Danube nadhani kwa maoni yangu mtu sahihi walipaswa wamuite Diamonds kufanya uzinduzi huo

Kwakuwa Watanzania sasa hivi ni mashabiki ushuzi wa Team ushuzi hawawezi kunielewa wala kukubali kitendo hiki ni dharau kubwa imefanywa na GSM dhidi ya models wetu, kumleta mganda halafu utegemee wateja Watanzania huu ni ufala uliopitiliza.

Binafsi yangu natangaza rasmi boycott bidhaa za duka hilo la Danube kwa kitendo hiki cha kutowapa support models wetu kufanya jukumu hilo.
Tunao kina Mbwana Samatta, Flavian Matata, yupo Joti yupo Masanja, yupo mzee Majuto why Zari? Zari ni Celeb wa nini jameni naomba kujuzwa.
Kila mtu na mawazo yake.
 
Jifunze kutofautisha biashara na siasa, unalazimisha hisia zako kwenye mipango ya watu wengine. Kama wewe una tatizo la zari kufungua ni tatizo lako pambana na tatizo lako, kwa GSM wao hilo siyo tatizo. Wewe bado una hangover za ujamaa, uchumi wa sasa siyo huo tena, amka pambana na hali yako
 
Back
Top Bottom