MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Na msisahau hata Boss wao Mkuu kwa upande wa Tanzania ni Mheshimiwa Mbunge wa Kinondoni na mwana Yanga SC lia lia Tarimba Abbas Tarimba lakini bado waliweza Kuzungumza na Simba SC na Wakafanikiwa.
Nyie GSM kwa Ushamba wenu na Kukurupuka Kwenu Siku ambayo mliingia Mkataba wa Udhamini Mwenza katika NBC Premier League mkampa Kipaza Sauti ( Microphone ) Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Frederick Lugano Wilfred Mwakalebela a.k.a SIMTANK aongee na Yeye nae alivyo Empty Set akaanza Kuwakoga ( Kuwananga ) Simba SC huku akisema kuwa iwe isiwe Simba SC watavaa Nembo ya GSM kitu ambacho kwa Watu makini tena wale Corporate kabisa hawakutakiwa kufanya hivi.
GSM mjilaumu wenyewe kwa Kufeli. Laiti mngekuja na Nidhamu na Ustaarabu kama waliokuwa nao Sports Pesa hii deal lenu la Mkataba wa Udhamini Mwenza na hata Simba SC kuvaa Nembo yenu lingefanjkiwa 100% na nina uhakika mngepata Mileage Kubwa mliyokuwa mkiitaka mkizingatia kuwa kwa sasa Simba SC ndiyo Giant wa East Africa Football kutokana na Mafanikio yake makubwa ndani na nje ya Tanzania ndani ya miaka Minne iliyopita.
Wenye Akili tunawasema mjirekebishe.