GSM kutoa zawadi ya 10,mil kwa kila point 3 Yanga

GSM kutoa zawadi ya 10,mil kwa kila point 3 Yanga

mikedean

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Posts
3,267
Reaction score
4,634
Klabu ya Yanga kupitia kwa mwenyekiti Mshindo Msolla Wametangaza leo kuwa mil 10 itakuwa ikitoka kila baada ya point 3 kwa klabu Yao ili kurudisha ari ya ushindi Jangwani.
Afisa uhamasishaji Mr.Antonio Nugaz Ndiye aliyeratibu makubaliano hayo na wadhamini wapya wa Yanga.Hivyo leo Klabu Ya Yanga katika mchezo na Coast Union Imezoa mil 10.

Hii ni habari njema kwa Yanga na uongozi mpya wenye maono ya Mbali kwa kushirikiana na kocha bora kabisa Afrika mashariki na kati Mwinyi Zahera kuhakikisha Yanga inafanya vizuri kimataifa na kitaifa.

Hongera Yanga daima mbele nyuma mwiko.
 
Mzee wa hamasa leo alikuwa na mzigo pale taifa,tutafika tu hata kwa booster ya hiyo ten kila game,Antonio kabuni utaratibu mzuri maana timu morali ipo chini
Ila naona parefu sana kwa kushinda game10 ni 100 mil!!!sasa GSM watapata faida kweli?
 
Dah! Kuna jamaa flani wapo kama Liverpool. Kwanza wanavaa nyekundu, pili wamepiga kila aliyejipendekeza na sasa wako pale juu

Nilikua nampongeza Shadeeya aliposema hiyo ten mil ya GSM iwe endelevu wakati dunia nzima inajua ni nguvu ya soda tu ile
Rangi nyekunde imedhihirisha uhatari wake kabisa. sio majuu sio hapa home.
 
Back
Top Bottom