mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,267
- 4,634
Klabu ya Yanga kupitia kwa mwenyekiti Mshindo Msolla Wametangaza leo kuwa mil 10 itakuwa ikitoka kila baada ya point 3 kwa klabu Yao ili kurudisha ari ya ushindi Jangwani.
Afisa uhamasishaji Mr.Antonio Nugaz Ndiye aliyeratibu makubaliano hayo na wadhamini wapya wa Yanga.Hivyo leo Klabu Ya Yanga katika mchezo na Coast Union Imezoa mil 10.
Hii ni habari njema kwa Yanga na uongozi mpya wenye maono ya Mbali kwa kushirikiana na kocha bora kabisa Afrika mashariki na kati Mwinyi Zahera kuhakikisha Yanga inafanya vizuri kimataifa na kitaifa.
Hongera Yanga daima mbele nyuma mwiko.