Ila naona parefu sana kwa kushinda game10 ni 100 mil!!!sasa GSM watapata faida kweli?Mzee wa hamasa leo alikuwa na mzigo pale taifa,tutafika tu hata kwa booster ya hiyo ten kila game,Antonio kabuni utaratibu mzuri maana timu morali ipo chini
Ila naona parefu sana kwa kushinda game10 ni 100 mil!!!sasa GSM watapata faida kweli?
Unamjua Gharib au unasikia tuSio kweli ni janja janja ili wachezaji angalau waamke
Lazima watatoa povu na goli letu la referee lileNgoja mikia waje kutoa povu
😂😂😂Ngoja bashite awasikie
Ili mlipe mishahara ya wachezaji mapemaNi jambo zuri kama litakuwa endelevu.
Bora wewe umetoa tahadhari mapeeema.Ni jambo zuri kama litakuwa endelevu.
Mkuu nisaidie msimamo wa ligi kama hutojaliBora wewe umetoa tahadhari mapeeema.
Dah! Kuna jamaa flani wapo kama Liverpool. Kwanza wanavaa nyekundu, pili wamepiga kila aliyejipendekeza na sasa wako pale juuMkuu nisaidie msimamo wa ligi kama hutojali
Rangi nyekunde imedhihirisha uhatari wake kabisa. sio majuu sio hapa home.Dah! Kuna jamaa flani wapo kama Liverpool. Kwanza wanavaa nyekundu, pili wamepiga kila aliyejipendekeza na sasa wako pale juu
Nilikua nampongeza Shadeeya aliposema hiyo ten mil ya GSM iwe endelevu wakati dunia nzima inajua ni nguvu ya soda tu ile
Hapana chezea kabisa mkuu🤣🤣🤣Rangi nyekunde imedhihirisha uhatari wake kabisa. sio majuu sio hapa home.
Ngoja bashite awasikie